mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
Madame B achana na huyo Chimbuvu kuna kontena mpyaaa zinaingia kule utambulisho nimeweka oda kwa Ulimakafu,Globu,Ritz na Bayyo wawalete theiya very new not so much used kama wakina Bishanga[
Mwambie ahamie huku nafasi ziko
Madame B achana na huyo Chimbuvu kuna kontena mpyaaa zinaingia kule utambulisho nimeweka oda kwa Ulimakafu,Globu,Ritz na Bayyo wawalete theiya very new not so much used kama wakina Bishanga
TAARIFA mwenyekiti! Nicas Mtei hayupo tunaomba dereva meingine
YATOKANAYO
kikao kilichopita niliomba kamati yetu tuongezewe mtu,naomba utangaze rasmi uwepo wa watu8 kwenye hii kamati
NAWASILISHA!
napinga kamati ya Baba V iweje Bishanga ni mdaiwa wa talaka halafu tena awe mdhamini.corrupted
soma vizuri maelezo mkiva then ndo uendelee kumuunga kiuno
Mambo si ndio hayo sasa.
Twen'zetu The secretary tukajiopolee viserengeti boy vibichii,
tuachane na hii mizee ya humu,
kwanza spring zao za viuno zimekatika.
Hakyamungu the Sekretary una hoja! Nafasi ya Bishanga apewe LiverpoolFC, Katavi hata Blaki Womani kwa gender..
hapo sasa wakati za wenzao zina speed ya panga boy
Nashanga na shanga zangu.
Raha yao hata gengeni wanaenda,sio mijanaume ya humu,hata kufua haifui.
Watupishe,hatujaolewa na TV sisi,kwetu mwenyewe nimviacha hvo Tv,kitanda,laptop,sofa,gari.
Nimeolewa na wewe hapo.
Sijaolewa na hvo vitu.
Tia kiuno grisi.
ndo majukumu yenyewe.