Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
nijieleze? nijieleze nn kwa Angelicious? that msonyo was a complete habari maelezo to me!
aisee mimi nikisonywa huwa nasikia kama nimeshikwa tak.o! kama ni ndoa naiacha na kuivunjilia mbali mara 1!
huyu lazima nim-tie adabu!
sina mzaha na under 18 when it comes to my sweetheart..
amu mi wala sikutishi... ila ukizingua tu!Kaka naona kuna mtu anaitwa Excel anatishia amani
ngoja nikuache makubwa hayo utakayoyatafuta
baba paroko ilikuwa imejensi
nijieleze? nijieleze nn kwa Angelicious? that msonyo was a complete habari maelezo to me!
aisee mimi nikisonywa huwa nasikia kama nimeshikwa tak.o! kama ni ndoa naiacha na kuivunjilia mbali mara 1!
mtu mzito hatafuti makuba wewe! these are just small externalities...! actually, huyu mtoto ni mdogo sana compared to punje ya haradali... ntampanda msimu wa kiangazi.. ngoja!
come-on-me sweetie! you are my everything you know! kwanza nilikutumia card ya pongezi kwa performance ya jana!
hivi uliiona honey? aisee nimejichokea hapa nilipo kama nini vile! aisee ninyi wanyantuzu si wa kuchukulia pole pole duh!!
kunani hapa....? Excel niambie....!
Nimekusikia mrembo!
hahahahahahahahah but ile assignment hukumaliza kule jokes
nakwambia usimwage mtama Excel
baba paroko kuna ishu vere vere important nataka nikwambie
yani msonyo tu unavunja ndoa hee!! mabig sasa wewe ulifikiri ndoa fashion show jaribu dogo kama hilo
unaacha mke? je ukifumania si utaji-ufoosaro??? lakini me nakupendaga tu we umeniacha miye sijathibitisha kama
umeniacha
baba paroko kuna ishu vere vere important nataka nikwambie
Nimekusikia mrembo!
hii ndo imemfukuza mwenzio...
Sema tu mrembo
Nakusikiliza ......