Wito kwa Lissu; Jitokeze kwenye vyombo vya habari uwaombe msamaha wafanya kazi kwa kuwaita takataka

Yaan ccm wamekosa sera wameishia kuweka sera ya jalala kama kutafuta huruma kwa wananchi,alieutwa jalala ashajitangaza mwenyew,nashangaa magu kapanik na imekuwa ajenda kweny kampen wakt ndo wenyew wanejitangaza.Lisuu endelea kukandamiza mapunch ya nguvunguvu kweny kidondaa tushaanza kuskia makelele huku
Nyie ndo mtachangia lissu asifikishe hata 10% ya Kura za Watanzania maana mnatetea kila kitu Hadi vya kijinga hamjui ndo mnaamuangamiza mwenzenu.
Acha tunaoshauri tuonekane wabaya Leo ili baada ya uchaguzi mkumbuke ushauri wetu huu tunao wapa leo.
 
Tundu Lissu nakuomba Sana Kama unataka upate angalau asilimia 20% za Kura za Watanzania nakuomba Sana jitokeze mbele ya media uombe msamaha kwa wafanyakazi wote wa kuteuliwa na wakuajiriwa na serikali iliyo chini ya rais Magufuli Baada ya kuwaita takataka na majalala.

Tundu Lissu nilikushauri kukaa kimya badala ya Rais Magufuli kukutega na mtego mdogo kabisa wa kusema; "Mwambieni kijana wenu aachane na urais nitampa kazi ndogondogo anayoiweza" Magufuli.
Kwavile nakufahamu vizuri kuhusu matamshi yanayotoka kinywani mwako nilikuja haraka Sana nikakupa ushauri kuwa usijibu chochote juu alichosema Magufuli Bali mpuuze tu ujifanye Kama hujasikia Ila hukisikia ushauri Wangu.

Hatimaye ukaamua kwenda kujibu mbele ya watu kuwa; "mwambieni Rais Magufuli Akawape kazi hao matakataka anao waokota majalalani na siyo Mimi"
Itoshe tu kusema Baada ya kauli yako kundi kubwa la wafanyakazi lililokuwa linakuona wewe Kama mkombozi wao na mpigania haki zao wamepoteza kabisa Imani kwako na wanakuona Kama mnafiki na Sasa hivi hasira zao zimehamia kwako kwa kuwaita wao takataka wanao okotwa majalala.

Mwisho; CCM iliamua ikutege na ukategeka ona Sasa hivi wanaitumia kauli yako kwenye majukwaa kuwanyeshwa Sumu ya kuzidi kukuchukia wafanyakazi ulio waita majalala.

Tundu lissu nakushauri tena usipende kujibu Kila unacho chokonolewa na wapinzani wako, wenzio siasa wanaijua na mbinu wanazo. Wewe siasa huijui Bali Ni mwana harakati mzuri na kwa Nafasi yako hiyo inayogombea uanaharakati siyo mahali pake na wapinzani wako wanaitumia hiyo weakness yako ya uanaharakati kukuchokonoa kwa vijembe vidogo vidogo wakijua wazi kabisa utajibu kiuanaharakati na matusi juu.
Ahsante nawasilisha!
Taka taka ni ww mkuu
 
Kwani unasoma darasa la ngapi?
 
Kinachoendelea hapa musoma kwenye mkutano wa CCM Ni dhahili kuwa wafanya kazi wamekwazika Sana.

Tena Mtu aliekutega Hilo swali nawe ukategeka ndo kaikazia Tena kauli yako ya kuwaita wafanyakazi wajalala.

Msamaha Ni neno lenye hekima Sana. Fanya kuomba msamaha Kama Mbowe alivyoomba msamaha kwa TBC Taifa siyo dhambi.
Acha upuuzi aliyeokotwa jalalani anafahamika
 
Nyie ndo mtachangia lissu asifikishe hata 10% ya Kura za Watanzania maana mnatetea kila kitu Hadi vya kijinga hamjui ndo mnaamuangamiza mwenzenu.
Acha tunaoshauri tuonekane wabaya Leo ili baada ya uchaguzi mkumbuke ushauri wetu huu tunao wapa leo.
We c mfanyakaz,tuliza mshonoo,zee lenu limekosa sera limeanza binywa korodan linalia lia nq kudandia sera za watu,kaza ivo ivo Lisu,yashaanza kulia lia jukwaani huku
 
A
Tundu Lissu nakuomba Sana Kama unataka upate angalau asilimia 20% za Kura za Watanzania nakuomba Sana jitokeze mbele ya media uombe msamaha kwa wafanyakazi wote wa kuteuliwa na wakuajiriwa na serikali iliyo chini ya rais Magufuli Baada ya kuwaita takataka na majalala.

Tundu Lissu nilikushauri kukaa kimya badala ya Rais Magufuli kukutega na mtego mdogo kabisa wa kusema; "Mwambieni kijana wenu aachane na urais nitampa kazi ndogondogo anayoiweza" Magufuli.
Kwavile nakufahamu vizuri kuhusu matamshi yanayotoka kinywani mwako nilikuja haraka Sana nikakupa ushauri kuwa usijibu chochote juu alichosema Magufuli Bali mpuuze tu ujifanye Kama hujasikia Ila hukisikia ushauri Wangu.

Hatimaye ukaamua kwenda kujibu mbele ya watu kuwa; "mwambieni Rais Magufuli Akawape kazi hao matakataka anao waokota majalalani na siyo Mimi"
Itoshe tu kusema Baada ya kauli yako kundi kubwa la wafanyakazi lililokuwa linakuona wewe Kama mkombozi wao na mpigania haki zao wamepoteza kabisa Imani kwako na wanakuona Kama mnafiki na Sasa hivi hasira zao zimehamia kwako kwa kuwaita wao takataka wanao okotwa majalala.

Mwisho; CCM iliamua ikutege na ukategeka ona Sasa hivi wanaitumia kauli yako kwenye majukwaa kuwanyeshwa Sumu ya kuzidi kukuchukia wafanyakazi ulio waita majalala.

Tundu lissu nakushauri tena usipende kujibu Kila unacho chokonolewa na wapinzani wako, wenzio siasa wanaijua na mbinu wanazo. Wewe siasa huijui Bali Ni mwana harakati mzuri na kwa Nafasi yako hiyo inayogombea uanaharakati siyo mahali pake na wapinzani wako wanaitumia hiyo weakness yako ya uanaharakati kukuchokonoa kwa vijembe vidogo vidogo wakijua wazi kabisa utajibu kiuanaharakati na matusi juu.
Ahsante nawasilisha!
Acha upotoshaji hakuna mfanyakazi atapiga kura ccm
 
Wewe ni TAKATAKA
 
comrade, unamwonea bure Lissu wa watu.... hilo jina la "WATU WA JALALANI" mbona walijipa wenyewe kupitia Palamagamba?
 
Kinachoendelea hapa musoma kwenye mkutano wa CCM Ni dhahili kuwa wafanya kazi wamekwazika Sana.

Tena Mtu aliekutega Hilo swali nawe ukategeka ndo kaikazia Tena kauli yako ya kuwaita wafanyakazi wajalala.

Msamaha Ni neno lenye hekima Sana. Fanya kuomba msamaha Kama Mbowe alivyoomba msamaha kwa TBC Taifa siyo dhambi.

Inawezekana zile teuzi watu wanatolewa majalalani... Kama Yule Prof..
 
We TAKATAKA, Kabudi ndiye aliyejitambulisha kuwa ametokea JALALANI huko.
 
Wafanyakazi wenyewe ndio walikiri wametolewa jalalani tena wamerudia mara kadhaa.. Unamjua Prof Kabudi yule alieutangazia ulimwengu ametolewa jalalani na kupewa uwaziri wa mambo ya nje?

Tofautisha wafanyakazi wakuajiriwa na kuteuliwa na rais... Teuzi nyingi Ni makada wa CCM.... Jalala Ni CCM!!?
 
Lissu anatakiwa aombe msamaha kwa wafanyakazi wote maana katika Matamushi yake hakutaja jina la kabudi Wala mtu yeyote Bali kataja jina la wafanyakazi wakiwemo hao kina kabudi na walimu wa shule ya msingi uvinza ndani ndani kule.
Nahisi kamaanisha kazi za kuteuliwa..ndiyo maana hata yeye alivyomuahidi kazi ndogondogo alimaanisha ya kumteua...hawezi kumfanya awe doctor wa binadamu kazi ambayo inahitaji kuisomea(vyeti..professional)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kwenda kufanya PhD yangu pale chuoni, lakini toka yule professa mwenye macho makubwa kama tufaha aliposema kuwa kile chuo ni jaa la taka nikasemma no, ngoja nijichange change niende nikafanyie hapo South, maana ukienda jalalani utatoka unanuka badala ya kunukia
Daa inashangaza sana.kama profesa ofisini kwake anapaita jalalani basi yule mwalimu wa Nanjilinji p/school atapaitaje... Jehanam ama??
 
Back
Top Bottom