Wito kwa Lissu; Jitokeze kwenye vyombo vya habari uwaombe msamaha wafanya kazi kwa kuwaita takataka

Hiyo ni weakness kubwa Sana aliyo ifanya Tundu lissu hivyo CCM wameamua kuitumia hiyo weakness kujijengea Imani kwa wafanyakazi na kuwapandikiza chuki dhidi ya Lissu.

Tena Mgombea urais Kupitia CCM amekazia kauli hiyo kwa kuwasemea walimu, manes, madaktari na vyombo vya Dora kuwa wao ndo wanaitwa na lissu takataka kutoka majalalani.

Ogopa Sana watu wanaitwa wanasiasa.
Kumbe kazi mojawapo ya ccm ya magufuli ni kupandikiza chuki kwa wananchi?? Du! Kweli mmeishiwa pumzi 😁😁😁
 
Kinachoendelea hapa musoma kwenye mkutano wa CCM Ni dhahili kuwa wafanya kazi wamekwazika Sana.

Tena Mtu aliekutega Hilo swali nawe ukategeka ndo kaikazia Tena kauli yako ya kuwaita wafanyakazi wajalala.

Msamaha Ni neno lenye hekima Sana. Fanya kuomba msamaha Kama Mbowe alivyoomba msamaha kwa TBC Taifa siyo dhambi.
Mazezeta.....
 
Mbona wa majalalani anajulikana? Alijitangaza mwenyewe pale Ikulu - tena TBC mubashara? Unajifanya haumujui aliyetangazie dunia kuwa aliokotwa jalalani?
Tundu Lissu nakuomba Sana Kama unataka upate angalau asilimia 20% za Kura za Watanzania nakuomba Sana jitokeze mbele ya media uombe msamaha kwa wafanyakazi wote wa kuteuliwa na wakuajiriwa na serikali iliyo chini ya rais Magufuli Baada ya kuwaita takataka na majalala.

Tundu Lissu nilikushauri kukaa kimya badala ya Rais Magufuli kukutega na mtego mdogo kabisa wa kusema; "Mwambieni kijana wenu aachane na urais nitampa kazi ndogondogo anayoiweza" Magufuli.
Kwavile nakufahamu vizuri kuhusu matamshi yanayotoka kinywani mwako nilikuja haraka Sana nikakupa ushauri kuwa usijibu chochote juu alichosema Magufuli Bali mpuuze tu ujifanye Kama hujasikia Ila hukisikia ushauri Wangu.

Hatimaye ukaamua kwenda kujibu mbele ya watu kuwa; "mwambieni Rais Magufuli Akawape kazi hao matakataka anao waokota majalalani na siyo Mimi"
Itoshe tu kusema Baada ya kauli yako kundi kubwa la wafanyakazi lililokuwa linakuona wewe Kama mkombozi wao na mpigania haki zao wamepoteza kabisa Imani kwako na wanakuona Kama mnafiki na Sasa hivi hasira zao zimehamia kwako kwa kuwaita wao takataka wanao okotwa majalala.

Mwisho; CCM iliamua ikutege na ukategeka ona Sasa hivi wanaitumia kauli yako kwenye majukwaa kuwanyeshwa Sumu ya kuzidi kukuchukia wafanyakazi ulio waita majalala.

Tundu lissu nakushauri tena usipende kujibu Kila unacho chokonolewa na wapinzani wako, wenzio siasa wanaijua na mbinu wanazo. Wewe siasa huijui Bali Ni mwana harakati mzuri na kwa Nafasi yako hiyo inayogombea uanaharakati siyo mahali pake na wapinzani wako wanaitumia hiyo weakness yako ya uanaharakati kukuchokonoa kwa vijembe vidogo vidogo wakijua wazi kabisa utajibu kiuanaharakati na matusi juu.
Ahsante nawasilisha!
 
Wewe mkuu siyo mfanya kazi wa serikali kwahiyo kaa kimya maana siyo wewe uliye itwa takataka kutoka jalalani.
Wee mpuuz usitake kujua Kaz yangu ila jua tu serikali ndo inatoa ajira wala si hisani ya Rais na mkewe, waliokwazika ni hao labda wateule wake anaowaapishaga ikulu ,elimu na qualifications za kaz husika ndo zinampa mtu ajira sio Rais,acheni kumtukuza hivyo
 
Lisu ana kiburi Sana,

Kamtukana baba wa Taifa ndio ije kuwa wafanyakazi ??

Wafanyakazi kitu gani bwana??
Baba wa taifa ni Mungu kiasi kwamba lazima tumsujudu/kumuabud? Lissu kumkosoa Baba wa taifa ni haki yake kwendana na jinsi anavyomchukulia Na kwa kuzingatia sheria za nchi-
 
Nyie ndo mtachangia lissu asifikishe hata 10% ya Kura za Watanzania maana mnatetea kila kitu Hadi vya kijinga hamjui ndo mnaamuangamiza mwenzenu.
Acha tunaoshauri tuonekane wabaya Leo ili baada ya uchaguzi mkumbuke ushauri wetu huu tunao wapa leo.
Now nimeshajua Wewe ni CCM as Mwanzoni ulikuja kama independent;hw on earth CCM iifundishe CHADEMA mbinu za kushinda au yupi ni mgombea bora?Only foolish can think that way!
Nyumbani kwako kwenye ndoa huwa unaenda kuomba ushauri wa jinsi ya kuishi na mwenza wako kwa Mtu ambaye unajua fika ni hawara wa Mkeo/Mumeo?
 
Uelewa wa maccm ni mdogo sana. We mpaka leo hujaelewa kuwa alikuwa anaongelewa professor mmoja aliyeokotwa majalalani huko na kupewa cheo? Si ungeuliza hata maccm wenzio? Hata humu jf tunamwita hivyo, labda kama wewe ni mgeni.
Hapana ametamka sisi wafanyakazi wote ni Majalala tumemsikia akiropoka chizi wenu!!
 
Wakuu hapa mnaongelea wafanyakazi wa ngazi ipi? Je, mnaongelea wafanyakazi wa serikalini tu? Je, ratio ya wafanyakazi wa Serikalini pamoja na Mashirika ya umma ni asilimia ngapi? Kwa maoni yangu sioni kiongozi yoyote makini kupandisha mishahara bila kuangalia uchumi wa nchi unafanyaje.
It’s not about their percentage; it’s all about their community impact.
Secondly;it seems you know nothing about economics & Law;how can someone say the economy is growing while people are not even getting benefits from their efforts?otherwise declare the economy is falling and people will understand,it's simple as that!
 
Alimaanisha hao akina Kabudi na wenzake waliookotwa jalalani!
Kazi ambayo JPM hutoa kwa mtu mmoja mmoja ni zile za uteuzi!Na hapa JPM mwenyewe huchagua nani ampe kazi hiyo!Na hao ndio Lissu anawazungumzia maana JPM alisema atamtafutia kazi!Ila watumishi wengine hupewa ajira kwa mujibu wa sheria za utumishi!Hivyo basi walengwa hapa ni wale wanaoteuliwa na Rais halafu wanajiona kama wameokotwa jalalani!Hao ndio Lissu anasema akawape kazi na yeye!
Hata watumishi hawajareact au kukwazika maana na wao wanajua walengwa wa kauli hiyo ni akina nani!😁😁😁😁😁!
Acha kufungia akili yako ndani ya box,la sivyo huwezi kuona ukweli!
Kama hujaelewa na hapa basi pole kwako!

NB:Tokea kauli ya Lissu itoke hakuna mahali watumishi wamelalamika,hapa inaonyesha ambaye ni kichwa panzi ni wewe!
Acheni kuhamisha magoriiii hiii itawagarimu saaanaaa. Unatukana watumishi w uma eti nimatakataka wa jalalanii tena kipindi hiki cha kuomba kuraa??
Lakini kumbukeni jamaa yenu ni mropokaji saanaa, yaaani kilasiku maneno yake yamejaa matusi mnooo.
Unasema alimanisha kabudi? Wapi amelitaja jina la kabudiii??
Halafu mnajipanga kuanza kuhamisha magoli etimnamsafisha mtu kama yule.
Alidhanii hiii tena kiki itamsaidia??
 
Watumishi wameelimika na ni wajanja kuliko unavyofikiria!Eti wamchukie Lissu kwa propaganda za kubumba na wasahau kuna mtu amesema kwenye utawala wake wasahau kuongezwa mishahara,mtakuwa hamko serious!
Watumishi sio wajinga kihivyo!
 
WEKA kumbukumbu sawa.

Aliyemshukuru Rais kwa KUMWONA NA KUMTOA JALALANI NI KABUDI.

HAWO WATUMISHI WENGINE WA UMMA WANAINGIAJE KWENYE HILO KUNDI LA JALALANI?

WATUMISHI WASIO KWENYE KADA YA KUTEULIWA HAWAHUSIKI.

AULIZWE KABUDI,

ALITOLEWA KWENYE JALALA GANI?
 
Mnatengeneza chuki kati ya Lissu na watumishi ili kuwasahaulisha kuwa hamjawaongeza mishahara wala hamtawaongeza mishahara!Watumishi sio wajinga kiasi hicho!
 
Kwani kasema uongo? Profesa majalala ndiye aliyetumika kama mfano hapo. Maana yeye alimshukuru Raisi kwa kumwambia kuwa alimtoa jalalani, halafu hapa unakuja kusema eti amemaanisha kwa wafanya kazi wote. Usituone wajinga. Akili zetu tunazo. Endeleeni kujisifia madaraja, sisi tunataka maisha yenye furaha na kuheshimiwa angalau kwa ubinadamu wetu.
 
Now nimeshajua Wewe ni CCM as Mwanzoni ulikuja kama independent;hw on earth CCM iifundishe CHADEMA mbinu za kushinda au yupi ni mgombea bora?Only foolish can think that way!
Nyumbani kwako kwenye ndoa huwa unaenda kuomba ushauri wa jinsi ya kuishi na mwenza wako kwa Mtu ambaye unajua fika ni hawara wa Mkeo/Mumeo?
.
Mkuu niamini nachokwambia, Mimi Sina kadi ya chama chochote kile na tangu nianze kupiga Kura sijawahi pigia chama kimoja kuanzia udiwan mpaka rais Bali huwa napiga kura kwa kiongozi Alie Bora Kwangu bila kujali anatoka chama gani.
Hivyo Basi nafikiri wewe umeshindwa kunielewa kwasababu inaonekana wewe ndo mchumia chama.
 
Lissu anawakilisha kizazi fulani cha wasomi wa mijini. Wamejaa Twitter wakiwa na Tanzania yao ya kubuni vichwani mwao.

Huwa hawana uwezo wa kujishusha wao siku zote ni kujikweza na wamejaa dharau za kisomi.
 
Tundu Lissu nakuomba Sana Kama unataka upate angalau asilimia 20% za Kura za Watanzania nakuomba Sana jitokeze mbele ya media uombe msamaha kwa wafanyakazi wote wa kuteuliwa na wakuajiriwa na serikali iliyo chini ya rais Magufuli Baada ya kuwaita takataka na majalala.

Tundu Lissu nilikushauri kukaa kimya badala ya Rais Magufuli kukutega na mtego mdogo kabisa wa kusema; "Mwambieni kijana wenu aachane na urais nitampa kazi ndogondogo anayoiweza" Magufuli.
Kwavile nakufahamu vizuri kuhusu matamshi yanayotoka kinywani mwako nilikuja haraka Sana nikakupa ushauri kuwa usijibu chochote juu alichosema Magufuli Bali mpuuze tu ujifanye Kama hujasikia Ila hukisikia ushauri Wangu.

Hatimaye ukaamua kwenda kujibu mbele ya watu kuwa; "mwambieni Rais Magufuli Akawape kazi hao matakataka anao waokota majalalani na siyo Mimi"
Itoshe tu kusema Baada ya kauli yako kundi kubwa la wafanyakazi lililokuwa linakuona wewe Kama mkombozi wao na mpigania haki zao wamepoteza kabisa Imani kwako na wanakuona Kama mnafiki na Sasa hivi hasira zao zimehamia kwako kwa kuwaita wao takataka wanao okotwa majalala.

Mwisho; CCM iliamua ikutege na ukategeka ona Sasa hivi wanaitumia kauli yako kwenye majukwaa kuwanyeshwa Sumu ya kuzidi kukuchukia wafanyakazi ulio waita majalala.

Tundu lissu nakushauri tena usipende kujibu Kila unacho chokonolewa na wapinzani wako, wenzio siasa wanaijua na mbinu wanazo. Wewe siasa huijui Bali Ni mwana harakati mzuri na kwa Nafasi yako hiyo inayogombea uanaharakati siyo mahali pake na wapinzani wako wanaitumia hiyo weakness yako ya uanaharakati kukuchokonoa kwa vijembe vidogo vidogo wakijua wazi kabisa utajibu kiuanaharakati na matusi juu.
Ahsante nawasilisha!
Mimi mtumishi wa umma niko bega kwa bega na Mh. Tundu Lissu, tulichofanyiwa muaka hii 5 Mungu tu ndiye anajua! Coming 28th October tunaenda kumaliza mchezo
 
Hapana ametamka sisi wafanyakazi wote ni Majalala tumemsikia akiropoka chizi wenu!!
Watoto wa mama marta tu ndio mumeelewa hivyo ila binafsi kwangu kauli ile ni vector inalenga uelekeo fulani.

Hapa unaposema nitampa kakazi fulani maana yake utamteua nje ya mfumo rasmi wa ajira za umma, na viongozi wa kuteuliwa ni wale tu wa upendeleo.

Viongozi wa upendeleo unaweza tu kuwa huna hata elimu ila ukapata nafasi kubwa (kuokotwa jalajani) nadhani ndiyo maana ya dhana hii hasa haigusi watumishi.

Mnaopotosha hili nawaona ni wale mnaodhani watumishi ni vihiyo (wajinga) wakati ninyi ndiyo mumewajeruhi kwa miaka kadhaa sasa mkivunja na kukanyaga stahikizao
 
Tundu Lissu nakuomba Sana Kama unataka upate angalau asilimia 20% za Kura za Watanzania nakuomba Sana jitokeze mbele ya media uombe msamaha kwa wafanyakazi wote wa kuteuliwa na wakuajiriwa na serikali iliyo chini ya rais Magufuli Baada ya kuwaita takataka na majalala.

Tundu Lissu nilikushauri kukaa kimya badala ya Rais Magufuli kukutega na mtego mdogo kabisa wa kusema; "Mwambieni kijana wenu aachane na urais nitampa kazi ndogondogo anayoiweza" Magufuli.
Kwavile nakufahamu vizuri kuhusu matamshi yanayotoka kinywani mwako nilikuja haraka Sana nikakupa ushauri kuwa usijibu chochote juu alichosema Magufuli Bali mpuuze tu ujifanye Kama hujasikia Ila hukisikia ushauri Wangu.

Hatimaye ukaamua kwenda kujibu mbele ya watu kuwa; "mwambieni Rais Magufuli Akawape kazi hao matakataka anao waokota majalalani na siyo Mimi"
Itoshe tu kusema Baada ya kauli yako kundi kubwa la wafanyakazi lililokuwa linakuona wewe Kama mkombozi wao na mpigania haki zao wamepoteza kabisa Imani kwako na wanakuona Kama mnafiki na Sasa hivi hasira zao zimehamia kwako kwa kuwaita wao takataka wanao okotwa majalala.

Mwisho; CCM iliamua ikutege na ukategeka ona Sasa hivi wanaitumia kauli yako kwenye majukwaa kuwanyeshwa Sumu ya kuzidi kukuchukia wafanyakazi ulio waita majalala.

Tundu lissu nakushauri tena usipende kujibu Kila unacho chokonolewa na wapinzani wako, wenzio siasa wanaijua na mbinu wanazo. Wewe siasa huijui Bali Ni mwana harakati mzuri na kwa Nafasi yako hiyo inayogombea uanaharakati siyo mahali pake na wapinzani wako wanaitumia hiyo weakness yako ya uanaharakati kukuchokonoa kwa vijembe vidogo vidogo wakijua wazi kabisa utajibu kiuanaharakati na matusi juu.
Ahsante nawasilisha!
Takataka Nyingine hii hapa
 
Back
Top Bottom