Wito kwa Lissu; Jitokeze kwenye vyombo vya habari uwaombe msamaha wafanya kazi kwa kuwaita takataka

Acha kupotosha na kutete ujinga Mkuu,

Mbona hata mtoto wa dalasa la nneD anauwezo wa kutofautisha sentensi iliyo katika Mfumo wa Wingi na Umoja.

"Mwambieni akawaajiri matakataka hao anaowatoa majalalani na siyo mimi" T.lissu

Je Kuna jina la prof Hapo?
Je hiyo sentensi ipo katika umoja?

Siasa zisitufanye tuwe vipofu wa akili.
Hizi ndio Takataka Lissu alizokuwa anamaanisha
 
It’s not about their percentage; it’s all about their community impact.
Secondly;it seems you know nothing about economics & Law;how can someone say the economy is growing while people are not even getting benefits from their efforts?otherwise declare the economy is falling and people will understand,it's simple as that!
So tell us what impact are you talking about? Also tell us about the law of economics? As far as I know most of the western countries who claim to be developed are there because of ''old money'' or cheating using unfair exchange mechanism and unfair trading practises. As far as I know the Tanzanian economy is growing (last year by 6% and this year will be about 5%) unless you would like us to believe that all these International Organisations are lying about the annual growth of the economy.

If you knew better about economics you wouldn't have been here at JF kugangaa njaa? Discredit those who work tirelessly to see that the country is progressing.
 
Wewe mkuu siyo mfanya kazi wa serikali kwahiyo kaa kimya maana siyo wewe uliye itwa takataka kutoka jalalani.

Acha ujinga wewe Palamagamba Kabudi alisema yeye mwenyewe kaokotwa toka jalalani cha ajabu kipi!!!??
 
Acha kupotosha na kutete ujinga Mkuu,

Mbona hata mtoto wa dalasa la nneD anauwezo wa kutofautisha sentensi iliyo katika Mfumo wa Wingi na Umoja.

"Mwambieni akawaajiri matakataka hao anaowatoa majalalani na siyo mimi" T.lissu

Je Kuna jina la prof Hapo?
Je hiyo sentensi ipo katika umoja?

Siasa zisitufanye tuwe vipofu wa akili.

Acha ujinga kawaulize ccm wenzako watakwambia ni nani aliyesema kaokotwa toka jalalani!!!
 
So tell us what impact are you talking about? Also tell us about the law of economics? As far as I know most of the western countries who claim to be developed are there because of ''old money'' or cheating using unfair exchange mechanism and unfair trading practises. As far as I know the Tanzanian economy is growing (last year by 6% and this year will be about 5%) unless you would like us to believe that all these International Organisations are lying about the annual growth of the economy.

If you knew better about economics you wouldn't have been here at JF kugangaa njaa? Discredit those who work tirelessly to see that the country is progressing.
Think by using your head and not otherwise.
If the country’s economy is performing very well,then why are revenues collected by TRA are falling behind while they were supposed to have a positive relationship?Just a simple economics for a kindergarten pupil.
*Kama uchumi wa nchi unakuwa haraka kwann mapato ya TRA Yanapungua badala ya kuongezeka?
 
Revenue collection of 850 billion a month to 1.5 trillion, need I say more?
 
So tell us what impact are you talking about? Also tell us about the law of economics? As far as I know most of the western countries who claim to be developed are there because of ''old money'' or cheating using unfair exchange mechanism and unfair trading practises. As far as I know the Tanzanian economy is growing (last year by 6% and this year will be about 5%) unless you would like us to believe that all these International Organisations are lying about the annual growth of the economy.

If you knew better about economics you wouldn't have been here at JF kugangaa njaa? Discredit those who work tirelessly to see that the country is progressing.
Why am here?Thats a stupid question to start with as a fair minded person
Economy moving from 6% to 5% is this growth??🤣🤣🤣
 
#NI_YEYE_2020

Wa majalalani huyo hapo babako
 
Inaonekana hata wao washakata tamaa naye.

Mimi nimejitahidi Sana kumushauri lakini hajanisikia Mkuu.
We Muumbwa, mwambie baba yako jiwe ajitokeze kuwaomba msamaha Wanawake kwa kuwaambia WAPANULIWE, Puumbavu sana.
 
OK then, that is not growth! Happy now?
I didn’t say am happy;It was just a concern to me as a normal citizen! But thanks for your arguments and that’s the power of free speech. it’s appreciated
 
Hiyo ni weakness kubwa Sana aliyo ifanya Tundu lissu hivyo CCM wameamua kuitumia hiyo weakness kujijengea Imani kwa wafanyakazi na kuwapandikiza chuki dhidi ya Lissu.

Tena Mgombea urais Kupitia CCM amekazia kauli hiyo kwa kuwasemea walimu, manes, madaktari na vyombo vya Dora kuwa wao ndo wanaitwa na lissu takataka kutoka majalalani.

Ogopa Sana watu wanaitwa wanasiasa.

Kabudi alisema "ulinitoa JALALANI"

Bashiru amekiri kuokotwa pia.
 
Tundu Lissu nakuomba Sana Kama unataka upate angalau asilimia 20% za Kura za Watanzania nakuomba Sana jitokeze mbele ya media uombe msamaha kwa wafanyakazi wote wa kuteuliwa na wakuajiriwa na serikali iliyo chini ya rais Magufuli Baada ya kuwaita takataka na majalala.

Tundu Lissu nilikushauri kukaa kimya badala ya Rais Magufuli kukutega na mtego mdogo kabisa wa kusema; "Mwambieni kijana wenu aachane na urais nitampa kazi ndogondogo anayoiweza" Magufuli.
Kwavile nakufahamu vizuri kuhusu matamshi yanayotoka kinywani mwako nilikuja haraka Sana nikakupa ushauri kuwa usijibu chochote juu alichosema Magufuli Bali mpuuze tu ujifanye Kama hujasikia Ila hukisikia ushauri Wangu.

Hatimaye ukaamua kwenda kujibu mbele ya watu kuwa; "mwambieni Rais Magufuli Akawape kazi hao matakataka anao waokota majalalani na siyo Mimi"
Itoshe tu kusema Baada ya kauli yako kundi kubwa la wafanyakazi lililokuwa linakuona wewe Kama mkombozi wao na mpigania haki zao wamepoteza kabisa Imani kwako na wanakuona Kama mnafiki na Sasa hivi hasira zao zimehamia kwako kwa kuwaita wao takataka wanao okotwa majalala.

Mwisho; CCM iliamua ikutege na ukategeka ona Sasa hivi wanaitumia kauli yako kwenye majukwaa kuwanyeshwa Sumu ya kuzidi kukuchukia wafanyakazi ulio waita majalala.

Tundu lissu nakushauri tena usipende kujibu Kila unacho chokonolewa na wapinzani wako, wenzio siasa wanaijua na mbinu wanazo. Wewe siasa huijui Bali Ni mwana harakati mzuri na kwa Nafasi yako hiyo inayogombea uanaharakati siyo mahali pake na wapinzani wako wanaitumia hiyo weakness yako ya uanaharakati kukuchokonoa kwa vijembe vidogo vidogo wakijua wazi kabisa utajibu kiuanaharakati na matusi juu.
Ahsante nawasilisha!
Unsatisfactory propaganda! Huwezi kuyageuza mawazo ya wafanyakazi wa sekta zote za umma na binafsi mawazo na mtazamo wa kuinyima kura ccm kwa Sasa kwani mwenyekiti wenu aliwanyima haki na stahiki zao za nyongeza za mishahara na maslahi yaliyopo kisheria kwa miaka mitano!
Kwa taarifa yako, hakina mfanyakazi mjinga wa kuipa ccm kura ya kumyang'anya na kumpora haki na stahiki zake kwa miaka mwingine mitano tena! Yeye aliwabania kwa miaka mitano na wao watamnyima kurejea kuwabana tena!
Najaua hutaamini wakulima wakiwaunga mkono wafanyakazi!
 
Tundu Lissu nakuomba Sana Kama unataka upate angalau asilimia 20% za Kura za Watanzania nakuomba Sana jitokeze mbele ya media uombe msamaha kwa wafanyakazi wote wa kuteuliwa na wakuajiriwa na serikali iliyo chini ya rais Magufuli Baada ya kuwaita takataka na majalala.

Tundu Lissu nilikushauri kukaa kimya badala ya Rais Magufuli kukutega na mtego mdogo kabisa wa kusema; "Mwambieni kijana wenu aachane na urais nitampa kazi ndogondogo anayoiweza" Magufuli.
Kwavile nakufahamu vizuri kuhusu matamshi yanayotoka kinywani mwako nilikuja haraka Sana nikakupa ushauri kuwa usijibu chochote juu alichosema Magufuli Bali mpuuze tu ujifanye Kama hujasikia Ila hukisikia ushauri Wangu.

Hatimaye ukaamua kwenda kujibu mbele ya watu kuwa; "mwambieni Rais Magufuli Akawape kazi hao matakataka anao waokota majalalani na siyo Mimi"
Itoshe tu kusema Baada ya kauli yako kundi kubwa la wafanyakazi lililokuwa linakuona wewe Kama mkombozi wao na mpigania haki zao wamepoteza kabisa Imani kwako na wanakuona Kama mnafiki na Sasa hivi hasira zao zimehamia kwako kwa kuwaita wao takataka wanao okotwa majalala.

Mwisho; CCM iliamua ikutege na ukategeka ona Sasa hivi wanaitumia kauli yako kwenye majukwaa kuwanyeshwa Sumu ya kuzidi kukuchukia wafanyakazi ulio waita majalala.

Tundu lissu nakushauri tena usipende kujibu Kila unacho chokonolewa na wapinzani wako, wenzio siasa wanaijua na mbinu wanazo. Wewe siasa huijui Bali Ni mwana harakati mzuri na kwa Nafasi yako hiyo inayogombea uanaharakati siyo mahali pake na wapinzani wako wanaitumia hiyo weakness yako ya uanaharakati kukuchokonoa kwa vijembe vidogo vidogo wakijua wazi kabisa utajibu kiuanaharakati na matusi juu.
Ahsante nawasilisha!
Hivi ni wewe pekee uliyesikia na kuona na alichozungumza Lissu? Hapa njoo vizuri. Usipotoshe bwana kwa ajili ya maslahi fulani fulani.

Kama ni propaganda sawa, lakini kama unasema kwamba huo ndio ukweli nafikiri umeteleza na wenye upeo mpana nao wanakushangaa.
 
Professor mzima unasema umeokotwa majalalani..angekuwa baba yangu namkana hadharani
 
Back
Top Bottom