Wito kwa kina dada wenzangu:- Nilidanganyika, nikatumia kanuni ya P. M. U, sasa NAJUTA

Kupewa Mimba Sio kuolewa Ndugu

Anaetaka kukuoa hawezi sema kwanza mpeane mimba ndipo muoane

Mimba yako lea na usimsumbue huyo Bwana, kwakua uliitaka mwenyewe
 
Dada Gilesi wala hata usitoe mimba, zaa mtoto wako, kwanza shukuru Mungu umeipata hata hiyo mimba wengi wanaangaika bila hata mafanikio mama!

Shukuru kwa yote!
 
we nawe.....kumuitia chemba mwenzako ndio nini?? Kama ushauri wako ni wa heri, si useme tu waziwazi??

huyu atakuwa ndo wale wachokonoaji wa mimba mtaani aafu mambo yakiwazidia wanakimbizia mount meru. Huwa nawachukia sana co kwa kutoboa uterus za dada zetu wakati hata knowledge au mechanism of action ya dawa wanazowa patia hawajui. Kuna mmoja niliwahi kutana naye wametoboa uterus,utumbo,kibofu mpaka ini. Yaani humo ndani kukajaa mavi na mikojo tu! Wadada kuweni makini na haya mawazo ya kutoa mimba,madhara yake ni makubwa kuliko hata hiyo ya kutaka kuonekana hujazaa. Si ulinuia kubeba mimba? Kwa nini usilee hata kama umekataliwa?
 
dada pole! uzoefu wangu unaonyesha mwanamke aliyezaa ana uelewa mzuri kuhusu maisha hivyo dada umepata sifa ya kwanza ya mwanamke mwema .then fanya yafuatayo yatakusaidia
tunza mimba yako
jipende mwenyewe
mkiri yesu kama bwana wa maisha yako
omba bila kukata tamaa.
ukisha yatimiza hayo utalijua kusudi lako maishani.
 
dada pole! uzoefu wangu unaonyesha mwanamke aliyezaa ana uelewa mzuri kuhusu maisha hivyo dada umepata sifa ya kwanza ya mwanamke mwema .then fanya yafuatayo yatakusaidia tunza mimba yako jipende mwenyewe mkiri yesu kama bwana wa maisha yako omba bila kukata tamaa. ukisha yatimiza hayo utalijua kusudi lako maishani.
 
Pole shosti najua vp inaumaa,lakini ungemuliza kwanza ndio ukapanga siajabu mwenzio kakufata wewe Kama kibustani nyumbani zogo jingi kaja kupumzika wewe tena unamletea Yale Yale ya sleepless nights aloyakimbia,lakini usijali mimba usitoe kwani huyu kiumbe Hana kosa na huwezi kujua mwenyezi mungu kampagia awe nani duniani....
 
Kosa umelifanya mwenyewe wala hakuna mtu aliyekulazimisha ubebe hiyo mimba. Sasa kwa nini umpe adhabu kiumbe asiye na hatia?
 
Pole kwa mambo kwenda kinyume na matarajio.
leo mimba yako vzuri ujizalie mwaya,m2 mwenye mapenz ya dhat nawe ni huyo ulienae 2mbon,kutoa ni kuhatarsha either maisha aisee mbaya sn hii.
 
Jamani PMU ni pata mimba uolewe.
Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu, eti mie sina sifa za kuwa mkewe, ila nina sifa za kuwa girlfriend tu.
Hivi sasa kichwa chaniuma, najiuliza NIZAE AU NITOE, sipati jibu.

Leo hiyo mimba huenda ukaja ukatuzalia Kanumba mpya
 
Jamani PMU ni pata mimba uolewe.
Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu, eti mie sina sifa za kuwa mkewe, ila nina sifa za kuwa girlfriend tu.
Hivi sasa kichwa chaniuma, najiuliza NIZAE AU NITOE, sipati jibu.

Duh, we mtoto una akili nzuri kweli?
Huyo jamaa yuko sawa kabisa kukutosa.
Wewe ni selfish, mbinafsi.
Mtoto kwako ni tiketi ya ndoa tu, yeye si binadamu wala hana umuhimu na ni heri afe kuliko ukose ndoa sawa ?
Na ndoa uliitaka ya nini?
ungeolewa halafu ukamfia jamaa mwingine si ungemuua huyu wa sasa?
unachohitaji ni CD ya bongo fleva ikuliwaze.
halafu toka humu nenda Facebook
 
Jamani wanaume ni hawa hawa hawabadiliki, yaani ulifikiri wenzio wanaotelekezwa wana matatizo yao binafsi, pole mwayego jilelee tu huyo baby maana huwezi jua labda Mungu kakupa uzazi wa hako hako kamoja
 
Ushauri wa wengi wetu ni kuwa lea mimba, uzae, ulee; na mimi ninajiunga na wanao kushauri hivyo. Ikiwa unao uwezo japo mdogo sana wa kulea mtoto, ninakushauri ufanye hivyo, washirikishe wazazi wako, pia kuna watu wanaotafuta mtoto kwa udi na uvumba lakini Mungu hakuwajaalia, unaweza kukubaliana nao.

Kama suluhisho la mwisho ikiwa huna uwezo na huna mtu wa kukusaidia, kumleta huyo kiumbe duniani ukiwa huna uwezo wa kumtunza hutakuwa umemtendea haki. Sikuambii utoe mimba bali za kuchangiwa changanya na zako.
 
Jamani PMU ni pata mimba uolewe.
Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu, eti mie sina sifa za kuwa mkewe, ila nina sifa za kuwa girlfriend tu.
Hivi sasa kichwa chaniuma, najiuliza NIZAE AU NITOE, sipati jibu.

maelezo yako yanaonyesha uliweka mtego ILI uolewe.Sasa dhambi yako ya ngono unaijitia na badala ya kutubu bado unafikiria kuua kiumbe cha mungu.Nakushauri uwaone watu wa kiroho kwa msaada zaidi na sio JF
 
Jamani PMU ni pata mimba uolewe.
Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu, eti mie sina sifa za kuwa mkewe, ila nina sifa za kuwa girlfriend tu.
Hivi sasa kichwa chaniuma, najiuliza NIZAE AU NITOE, sipati jibu.

Pole sana mdada, nakusihi sana usitoe mimba yako.Zaa mwanao umlee maana madhara ya kutoa mimba ni makubwa zaidi hivyo ni afadhali kuzaa na kulea hata kwa kusaidiwa.
 
Pole mdada. zaa mtoto wako my dear and songa mbele, ila ndio ujifunze kutumia condom next time. itakuepusha na mengi including ukimwi.
 
Toa, kishja uolewe uanze kushinda kwa waganga kutafuta mtoto
Dada Gilesi wala hata usitoe mimba, zaa mtoto wako, kwanza shukuru Mungu umeipata hata hiyo mimba wengi wanaangaika bila hata mafanikio mama!

Shukuru kwa yote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom