Wito kwa kina dada wenzangu:- Nilidanganyika, nikatumia kanuni ya P. M. U, sasa NAJUTA

Hua inafanya kazi bwana. . mbona kwangu imekubali?

Pole bana. . .Zaa ulee mwanao kama kuolewa kupo utaolewa tu. Ila usije ukadhubutu kurudia tena huo mchezo.
 
toa mwaya,life is too short kuanza kung'ang'ana na ulezi mwenyewe.:tape2:
 
Tunza mimba ukisha zaa niletee mtoto ntamlea, lkn jitahidi msiwe wazembe tena!
 
Gilesi pole mwaya ,vumilia ndio maana
dini zote zinakataza ku du kabla ya ndoa
bora enzi zetu ulikuwa haturuhusiwi ku do
Mpaka ukabithiwe rasmi
 
sikushauri kabisa kutoa csta,jitahidi tu umlee mwanao,unaweza kukuta ni waziri wa kesho,akaja kukomboa taifa,tafadhali usituondolee tegemeo la ukombozi wa taifa letu.
 
Tumekuwa wapenzi kwa mwaka na miezi sasa, nikadhani nikinasa basi itakuwa rahisi kwa mwenzangu kutangaza ndoa

Kama uko mkoa wajirani na arusha ni pm nikupe ushauri wa kufanya but pole sana kujikwaa sio kuanguka
 
Ukimpapatikia hatakuoa. Ukijifanya humaind na hata asipokuoa huna shida, utashangaa anatangaza ndoa fasta...
 
Pole ndugu, swali langu muda wote huo uliokuwa nae you didnt see the sign kama huyo hala longterm plans na wewe? Kama alikuwa hana mpango huo au hamjawahi kuzungumzia suala hili, kubeba wewe mimba hakuwezi kumbadilisha.

Usilazimishe ndoa, lea mimba yako na umlee mwanao akisaidia shukuru
 
sikushauri kabisa kutoa csta,jitahidi tu umlee mwanao,unaweza kukuta ni waziri wa kesho,akaja kukomboa taifa,tafadhali usituondolee tegemeo la ukombozi wa taifa letu.

Akija kuwa Lusinde wa kesho je?
 
PMU = pata mimba uzae, pata mimba ulee, pata mimba uzeeke, pata mimba usiolewe, pata mimba uolewe, pata mimba uitoe, pata mimba ufe...majibu mengi sana nakushauri PATA MIMBA USIITOE.. Fanya kazi lea mimba zaa lea mtoto..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom