Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Wewe ubaguzi unakusumbua sana. Wahindi ni wabaguzi, hawapendi kujichanganya na Waafrika kabisa -- ila tu katika ngazi za juu za mafisadi. mmeishi miaka chungu nzima hapa lakini mnakaa kivyenu vyenu tu hamtaki ku-interact na wazalendo, kuoana etc. Ahei hata Warabu. Siku hizi kazi yenu kubwa ni kuingia siasa kwa njia za kifisadi ili muendeleze kulimbikiza mali, na siyo kumuendeleza mzalendo ambaye hamumjali kabisa.
Hard Hitter ! Uko sawa Kabisa, umeshaona wapi gabachori kijijini mwalimu wa shule ya msingi? Hakuna maslahi, ndio maana wamejiwekeza kwenye siasa baada ya kuona kuna mwanya wakushirikiana na watu wa chama tawala kuwanyonya wazalendo.