What do we expect with Werema kind of AG? This country is totally f..ked up. I'm very sorry to say so.
Kweli kabisa huyu Werema ni wakili mkuu wa ccm sidhani kama anajua anachofanya!!!!anaenda kwenye nec kumtetea jk ,Tundu lisu amempa ukweli wake kuwa amekuwa mwanasiasa badala kuwa mtendaji na pia mvivu wa kusoma!!anajibu kwa jazba bila researchI support your statement 100%
RITES hata wanasiasa wa upinzani wanaogopa kuinadi majukwaani sababu ina mkono wa mkubwa. Si ajabu kusikia waziri wa fedha anaibuka na kusema lazima RITES walipwe kwa gharama yoyote! I love Tanzania nchi ya aman (wajinga).