With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Usijali erickb52 na karibu tena. We missed you alots
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaaaaaa......umekuja na vituko!!! haya bwana! ila ukweli utabaki kuwa wewe ni mdogo wangu wa mwisho!!!
Akuuuuu
Labda nibaki kuwa nyumba ndogo ya mwisho hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:


Karibu sana ila kwa speed ulokuja nayo ntakurudisha ulikokuwa we haya..... Afu nitonye nishamuacha zamani sana shahidi ni Bishanga teh teh
 
Last edited by a moderator:
Asante sana KOKUTONA eeeh
Usisahau kuja kwenye party baadae....ila uje na wa kukurudisha endapo utazimika hahahaaaa
Miss you

Ha ha haa Erickb52 usinambie kwenye party kutakuwa na makitu ya kuzimisha...

Loool...ngoja niandae bodyguard wa kunilinda km hayo makitu yatanipitia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…