With Heartfelt Sentiments on your Birthday!


Hahsante Erickb52 kwa shukrani na ukaribisho hapo baadae.....

We will be there
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa kwani Bishanga kakumwaga tena?
Nilikuambia angalia watu wa kupenda lol
Ila we kwa tarala unaongoza maana hukamatiki...mara kwa Vin Diesel mara Mr Rocky mara Arushaone khaaa then umeangukia kwa Bishanga kweli hujipendi Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
jamani mtoto kakua saa ngapi na wakati nilikuwa namvalisha pampers hapa eti naona anachukua laptop yangu na kuanza kuandika amenishangaza na kuniogopesha na kunipa butwaa like this View attachment 105059
 
TANMO hana lolote huyo Erickb52,si unaona anavyomiss wanawake kibao mara Amyner mara Chocs mara dadangu Kipipi ( huyu naye sijui aliingiaje mkenge)
Kipipi analijua haba kangu na hata umsengenye namna gani habanduki....ushaona napigwa kibuti mimi?
Wake zangu ni wangu tu hakuna mwenye access nao aisee CHANGU NI CHANGU na CHENU NI CHANGU
 
Last edited by a moderator:
heee wewe umekuwa saa ngapi mpaka unaandika hapa na kutoa shukrani zako, hebu rudi ndani kalale ukue haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…