Heaven on earth kwa vile tuko kwenye mfungo keki tutakata baada ya azana ili tuweze kushiriki pamoja na ndugu zetu walioko kwenye mfungo.... Karibu sana
Hahahahaha ahsante shemsweetladykwa reminder.
Nikutakie heri njema binamu Erickb52Uishi maisha marefu na afya tele. Mungu akujalie kuona wajukuu wa vitukuu vyako.
Najua such times utakuwa na shehena ya stories kibao na wajukuu watakuwa wamekuzunguka all the time.