shem nahitaji mtu wakunisaidia kazi za home ila ndugu zangu wamenishauri nitafute ndugu wa kunisaidia maana watu baki ni wezi
Sweetlady na Hus tumeshaonana lakini nawatafuta Kaba na Kloro ukiwaona waambie nimerudi.Duh aisee siamini uporoto01 km ni wewe khaaaa
Ngoja nimuite sweetlady Kabakabana klorokwini na Husninyo waje aisee dah longtime sana.
BTW nimefurahi kiukweli sana
Duh aisee siamini uporoto01 km ni wewe khaaaa
Ngoja nimuite sweetlady Kabakabana klorokwini na Husninyo waje aisee dah longtime sana.
BTW nimefurahi kiukweli sana
Hahahahaaaa umemuona uporoto01@kabakabana.com ?Hahahahahaha.... Na wewe hebu mtue cousin wangu meeeeen!
Sweetlady na Hus tumeshaonana lakini nawatafuta Kaba na Kloro ukiwaona waambie nimerudi.
Dah ngoja Kabakabana anakuja kukupa hi....!Sweetlady na Hus tumeshaonana lakini nawatafuta Kaba na Kloro ukiwaona waambie nimerudi.
HahaaaAfu ukome kuniita mda wa kufuturu .... Ila kiukweli natamani na klorokwini akuje hapa lol
Unakula nini hapa nafakamia kababu kubwa za Nairobi.Afu ukome kuniita mda wa kufuturu .... Ila kiukweli natamani na klorokwini akuje hapa lol
Dah ngoja Kabakabana anakuja kukupa hi....!
Zamani nilikuwaga najua sweetlady na Kabakabana wanajuana hahahaaaa kumbe nilikuwa nimebug meeen kisa wanaitana wifi khaaaa
Zamani ilikuwa bomba sana mkuu
Zamani ya akina Lizzy Roulette kabla hajabadili jina toka RussianRoulette khaaaaaNimemuona mwaya...... Nimekumbuka zamani zileeeeee za furaha chit chat daaaaaah!
Hebu km ukitoka huko pitia Arusha tukulishe nyama za ukweli za kimasaiUnakula nini hapa nafakamia kababu kubwa za Nairobi.
Hahahahaaa siku hizi Chit Chat imekuwa kama Mlima yan kuna kupanda na kushuka lolChezeiya chit chat ya zamani wewe lol.... Ukiingia kichwa kichwa lazima ubug meeeen!
Hahaaa
Tulia meeeen
Mbona hatukaribishani kufuturu?
Mi nagonga Konyagi ya kopo, ndovu ya kiroba, serengeti ya packet ,tustker ya kupima,bia na wineHahahaha....una uji uporoto01?
Mie nakula futari ya mihogo, ndizi, tambi, maharagwe yenye sukari, nazi na iliki ya kutosha lol.... Uji kwa pembeni.... Karibu sana ndugu yangu!
Hahahahahaaaaa nishasahau meeeen!Hahahaha...... Karibu kama jasho la mtu laliwa teh teh.... Afu ndio nini kunifuturisha huku nimeshika simu lakini? Umbea unaniwasha ujue eeh..... Dakika moja uliyosema ni kwa saa za afrika ya magharibi au?
Heheheheee ila tutulie kwanza eeeeh naona mambo yako sawa siku hiziUmeonae? Ndio mana sazingine mitini kimya kimya lol