Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday dear
Erickb52
Happy birthday to you!!!
How old are you now
How old are you now
Happy birthday, happy birthday
Happy bitthday to you!!!
Dear
Erickb52
Hoping that this day will be a special one for you,
A day for looking forward to the things life holds in store,
A day to hope your future brings just what you are wishing for and
May you find joy in every moment, every hour of your special day
Happy Birthday!!!!
Wapendwa wana chit chat na jf kwa ujumla, naomba niwaite kwa itifaki tuje tuungane na kufurahi pamoja na ndungu/rafiki yetu kipenzi
Erickb52 katika siku hii muhimu sana kwake....... Namwita
Baba kipenzi
watu8 na mama mpendwa
measkron
Baba wa mwanangu
Nicas Mtei
Mabinti wa baba na mama kipenzi
charminglady,
Passion Lady na
WiseLady
Madada binamu
Lady doctor na
ladyfurahia
Pacha wangu wa ukwee
TANMO.... ...bila kumsahau kaka mpendwa
Davie S.M
Swahiba wangu wa rohoni
Husninyo (nakumiss sana ujue eeh)
Mawifi wapendwa
AshaDii,
Blaki Womani na @FP
Wake wenza
King'asti,
marejesho na
Lily Flower
X husb
Vin Diesel na
nitonye
Jirani yangu wa pekee
Preta
Makamanda wa ukweli
Crashwise,
Filipo,
LiverpoolFC,
Mungi,
Arushaone,
Mwita Maranya,
Yericko Nyerere,
Fidel80,
Mzee wa Rula,
PakaJimmy, @MD 25,
Ben Saanane,
Ruttashobolwa,
Masanilo,
Mr Rocky na
Baba V
Jamani kwenye hii party magamba pia mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu
Ritz,
Rejao (upo kaka?)
FaizaFoxy,
HAMY-D,
zomba,
M23,
njia panda,
babayako na wengineo .....ila hala hala msijekuja na mabomu manake huu sio mkutano wa chadema na plz suti za kijani na manjano ni marufuku
Mashosti nyie haswaaa ndio mwatakiwa kwaajili ya kupokezana kumbeba baby boy
Erickb52.....
Madame B,
Paloma,
Mamndenyi,
amu,
Arabela, @YINNAH,
cacico,
BADILI TABIA,
Nivea,
sister,
Mrembo by Nature,
Kongosho,
snowhite,
Kipipi,
KOKUTONA,
Elizabeth Dominic,
Lisa,
mimisa,
Dena Amsi,
The secretary,
Heaven on earth,
Queen Kan ,
Chocs na wengineo
Wakaka pia uwepo wenu ni wa muhimu sana
Kaizer,
Asprin (hivi wewe ni kaka au mjomba? Sikumbuki vizuri ujue),
Mtambuzi,
The Boss,
BAK,
KakaKiiza,
MziziMkavu,
uporoto01,
Nyani Ngabu,
Slave,
Katavi,
Chimbuvu,
Bishanga,
kiwatengu,
sosoliso,
Mtoto halali na hela,
Mentor,
Bujibuji,
Dark City,
figganigga,
Eiyer,
sijui nini na wengineo..... Shemeji
Paw sijakusahau nakuona macho yalivyokutoka mwambie na
Invisible nae anakaribishwa sana!
Wapendwa kama sijakumention am sorry but hiyo haimaanishi kuwa hujakaribishwa kumwimbia mtoto
Erickb52, nyote mnakaribishwa
Erickb52 tunakupenda na tunafurahi pamoja na wewe, Mungu akupe maisha marefu........ Mwaaaaaaaaaaah!