Wishing you a holy good friday

miss you much mtoto mzuri!

ndo nini kunipigia kimya hivyo jamani?

btw, mwenzio nalala strabag, si unajua tena mafuriko ya jangwani! lol.

Asante, Majukumu yamekua mengi mpaka natamani kujikimbia.

hahaaaa pole ila angalau roho yako imesalimika
 

Asante kwa salamu njema. Nami nakutakia sikukuu njema yenye furaha tele. Tufufuke na Bwana Yesu!
 
Asante Lady doctor,,,, pia nakutakia ijumaa kuu njema pamoja na wana jf wooote nawapenda sana.
 
Last edited by a moderator:
na kwa wale wanachuo wooote waliohamia kwa ma bf/gf zao mara tu baada ya kumaliza vipindi va mwisho va alhamis salamu ziwafikie huko uhamishoni mlipo kwa muda!
 
Thanks a lot my daughter Lady doctor na niwatakie nyote pasaka njema
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…