Wirewounded resistor

Wirewounded resistor

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
Ni wapi naweza kupata hizi resistor (WireWound resistor) Specifically 1000 Ohm ,(1KOhm) Color code Brown, Black, Red.

Resistor.jpg
 
Habari Mkuu.
Hiyo ni inductor ya 1000uH. Fanya tu utundu mambo yaende.
 
Bro nimeishiwa ujanja, mahali penyewe inapotakiwa kuwekwa kuna nafasi ndogo. Naomba ujanja
 
Kama kwenye meter inasoma infinite resistance,kwangua rangi longitudinally uweze kuona windings na uzihesabu, usuke tena kwa waya size ile ile na former ile ile. Usisahau kufunika windings kuzuia mwingliano wa cores.
 
Mkuu ulifanikiwa kusuka hiyo inductor ikakubali kufanya kazi? Kama bado lete mrejesho twende kwenye last resort.
 
Hapana mkuu, tatizo ni kupata nichrome wire ya hiyo size.
 
Kama upo dsm jaribu fika pale temeke mwisho fika katika zile fremu zilizokuwa msikitini waweza pata lakini 30%
 
Nenda kariakoo ukiwa unatoka round about ya uhuru kuelekea mnazi mmoja upande wako wa kulia kabla hujaufikia mtaa wa kongo kuna duka la wapemba la electronics devices. Hapo huwezi kosa
 
Kama kwenye meter inasoma infinite resistance,kwangua rangi longitudinally uweze kuona windings na uzihesabu, usuke tena kwa waya size ile ile na former ile ile. Usisahau kufunika windings kuzuia mwingliano wa cores.

nimependa maelezo yako ntafurahi kama uta ni pm namba zako
 
Back
Top Bottom