Wireless works well with ubuntu but not in windows

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Salaam wanajukwaa....juzi juzi hapa wireless adapter yangu imeanza kugoma ku-connect internet, its like ina-detect signals but cant connect to the internet, but niki-switch to ubuntu nakuwa connected internet kwa wireless networks zilezile ninazotumia kwenye windows..what could be the problem?
 
As long as Adaptor ya Wireless ni hiyo hiyo hakuna cha beta wala nn

Tafuta Hicho Kiharusi au Au umetemper system configuration za Wirelless kwa mi VPN yenu na miproxy yenu au kwa njia yoyote. Anyway Restore PC yako to the restore point where it waz in Good Conditon.

Regards

Biohazard
 
angalia kama drivers za wi-fi card zipo sawa, kwenye ubuntu mara nyingi hiyo os inasupport hardware nyingi.
 
and, what type of network do you use(WPA or WEP)? unatumia windows xp au windows 7? windows xp doesn't support WPA, mpaka uweke drivers of that type of network.
 
Unistall driver na software ya adapter(kama ipo) alafu reinstall upya ikikataa download winsock ili uweze ku-reset TCP/IP za system yako hapo itakuwa fresh
 
and, what type of network do you use(WPA or WEP)? unatumia windows xp au windows 7? windows xp doesn't support WPA, mpaka uweke drivers of that type of network.
RESOLVED: Natumia win 7 proff mkuu, but nimeshairesolve tayari...niliingia kwenye network management center then nkafanya diagnosis ya wireless ikaniambia tatizo lipo kwenye DHCP settings...nkafix tatizo! its working well now
Akhsanteni.
 
Salaam wanajukwaa....juzi juzi hapa wireless adapter yangu imeanza kugoma ku-connect internet, its like ina-detect signals but cant connect to the internet, but niki-switch to ubuntu nakuwa connected internet kwa wireless networks zilezile ninazotumia kwenye windows..what could be the problem?
Check kama una firewall yoyote iko on try disabling the firewall.
 
Back
Top Bottom