Wireless Dongle ni kitu gani ?

Wireless Dongle ni kitu gani ?

richie hassan

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Msaada wireless dongle ni nn?coz nina PC tablet yangu inasoma E nimejaribu Ku set nipate 3g inataka niweke kitu kinaitwa dongle... Je ndo nn
 
Msaada wireless dongle ni nn?coz nina PC tablet yangu inasoma E nimejaribu Ku set nipate 3g inataka niweke kitu kinaitwa dongle... Je ndo nn

Wireless dongle ni USB device ambayo inakisaidia kifaa ambacho hakiwezi detect WiFi basi kiweze detect...

Hii kitu nafikiri inatumika kwenye receiver na Desktop za zamani ambazo haziwezi detect wireless internet

Ila bado sijapata association ya hii USB wifi adapter na hiyo Tab yako
 
Back
Top Bottom