Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,193
Habarini wakuu,
Kwa interest kama mdau wa sayansi na teknolojia, nilichokiona katka mahafali ya UDOM kimenisikitisha na nimebaki na maswali.
Moja, ni kwa nini tuna wahitimu wachache sana wa sayansi?
Je, ndio kipaumbele kuwa na Masters nyingi za sanaa au ni ukosefu wa watu wa kusomea, au miundombinu au nini sijui?
Je, uwiano huu utaleta tija kwa Taifa ukizingatia uchumi wa viwanda.
Serikali na wadau wa maendeleo hawalioni hilo kuwa ni janga? Je, tunalichulkulia kawaida tu?
Kama chuo kimoja tu ndio hivyo vipi kwa takwimu za wahitimu wa vyuo vyote?
Hivi hizi Masters za ualimu nini tija yake katika utendaji kulingansha na idadi yake?
Elimu ya Tanzania imeboreka zaidi au inasuasua? Je, nini ni lengo la kuzalisha Masters nyingi kiasi hiki, ni uhuru wa watu kusoma kadiri watakavyo au ni mahitaji halisi kutokana na ombwe la wataalamu wa kiwango hicho?