Wingi wa Shahada za Umahiri za Ualimu wa Sanaa unaashiria nini?

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
4,941
6,190
Habarini wakuu,

Kwa interest kama mdau wa sayansi na teknolojia, nilichokiona katka mahafali ya UDOM kimenisikitisha na nimebaki na maswali.

Moja, ni kwa nini tuna wahitimu wachache sana wa sayansi?

Je, ndio kipaumbele kuwa na Masters nyingi za sanaa au ni ukosefu wa watu wa kusomea, au miundombinu au nini sijui?

Je, uwiano huu utaleta tija kwa Taifa ukizingatia uchumi wa viwanda.

Serikali na wadau wa maendeleo hawalioni hilo kuwa ni janga? Je, tunalichulkulia kawaida tu?

Kama chuo kimoja tu ndio hivyo vipi kwa takwimu za wahitimu wa vyuo vyote?
Hivi hizi Masters za ualimu nini tija yake katika utendaji kulingansha na idadi yake?

Elimu ya Tanzania imeboreka zaidi au inasuasua? Je, nini ni lengo la kuzalisha Masters nyingi kiasi hiki, ni uhuru wa watu kusoma kadiri watakavyo au ni mahitaji halisi kutokana na ombwe la wataalamu wa kiwango hicho?
 
Kama uliwalipia ada sawa, wewe una elimu gani?
Kila mtu akieleza elimu myake hapa si itakuwa fujo,wale wameorodheshwa na kutajwa hadharani mimi nahusikaje,kwani na mimi ni muhitimu mbona unamihemko au nawe una master ya eliumu kama uchafu,yaani wamejaa tele wanapigana vikumbo tu mtaan.
 
Watanzania hawapendi vitu vigumu na vinavyoumiza kichwa ndio maana wengi wanaochangia uzi wako hawafikilii kwa kina km ww. Wanajibu kwa masihara kwan hivo ndivyo mfumo wa elimu ulivyowaanda kuwa shalow thinkers. Kwa mwenye upeo na juhudi ya kufukiri lazma aone tatzo katika vyuo na wahitimu wetu
Habarini wakuu,

Kwa interest kama mdau wa sayansi na teknolojia, nilichokiona katka mahafali ya UDOM kimenisikitisha na nimebaki na maswali.

Moja, ni kwa nini tuna wahitimu wachache sana wa sayansi?

Je, ndio kipaumbele kuwa na masters nyingi za sanaa au ni ukosefu wa watu wa kusomea, au miundombinu au nini sijui?

Je, uwiano huu utaleta tija kwa Taifa ukinzingatia uchumi wa viwanda.

Serikali na wadau wa maendeleo hawalioni hilo kuwa ni janga? Je, tunalichulkulia kawaida tu?

Kama chuo kimoja tu ndio hivyo vipi kwa takwimu za wahitimu wa vyuo vyote?
Hivi hizi masters za ualimu nini tija yake katika utendaji kulingansha na idadi yake?

Elimu ya Tanzania imeboreka zaidi au inasuasua? Je, nini ni lengo la kuzalisha masters nyingi kiasi hiki, ni uhuru wa watu kusoma kadiri watakavyo au ni mahitaji halisi kutokana na ombwe la wataalamu wa kiwango hicho?
 
Screenshot_20191123-205839~2.jpeg
 
Sina maana ho bal kwa nn master za hesabu 2,physics hakuna kabisa,phd za sayansa sikuzisikia kabsa na art 38,kwa nini iwe hivyo au wewe unaona sawa?
Kwenye kusoma kila mtu anasoma kile anachoweza kumudu darasani. Mfano mzuri ni mimi binafsi, hesabu nilidanganywa kuwa nikijua +-/x nimemaliza kila kitu. Siku nakutana na logarithms, sin cos n.k ndio hamu iliishia hapo. Nikadandia HKL vizuri kabisa. Hebu jiulize ufaulu wa prof lipumba kwenye hesabu, umeleta tija gani kwa taifa, au kina mwakyembe na degree 4
 
Watanzania hawapendi vitu vigumu na vinavyoumiza kichwa ndio maana wengi wanaochangia uzi wako hawafikilii kwa kina km ww. Wanajibu kwa masihara kwan hivo ndivyo mfumo wa elimu ulivyowaanda kuwa shalow thinkers. Kwa mwenye upeo na juhudi ya kufukiri lazma aone tatzo katika vyuo na wahitimu wetu
Kuna kipindi utaona maswal ya kpuuzi wakiulza kwa nini TZ haina wavumbuz wa teknoloja mbalmbal.Digrii 2 za hesabu kwa 48 za art unategemea kuwa na watu wa aina gani mbeleni.
 
Kwenye kusoma kila mtu anasoma kile anachoweza kumudu darasani. Mfano mzuri ni mimi binafsi, hesabu nilidanganywa kuwa nikijua +-/x nimemaliza kila kitu. Siku nakutana na logarithms, sin cos n.k ndio hamu iliishia hapo. Nikadandia HKL vizuri kabisa. Hebu jiulize ufaulu wa prof lipumba kwenye hesabu, umeleta tija gani kwa taifa, au kina mwakyembe na degree 4
Wahtmu wa sasa kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kjacho,kinalipumba muda wao umepta,Huoni tuna watu wengi sana wana elimu znazofanana na hawahitajiki,thaman yao imeshuka,wanaajlwa hata kwa laki 2 tu.
 
Wewe haulewi kama kodi nayolipa iinatumika kuwasomeshea hao watu,jibu maswali kwanza ndio uulize swali au uhoji.
Watu wa masters hawana mikopo toka Board, wanasoma kwa kujilipia wao wenyewe, sasa usijifanye kodi yako inatumika kuwalipia ada... Kimsingi kodi yako na yangu pia inatumika kusomesha undergraduate na sio postgraduate..
 
Kwa ho nawe
Nakubaliana na wewe kwamba zama za kina lipumba zimekwisha, ila walifanya nini cha maana zaidi ya kila msomi kutaka awe mwanasiasa?
usifanye cha maana kwa kuwa kina lipumba walifeli.Mkuu unaamin kuwa prof, Lipumba hakuna cha maana alchofanya ? let me tell you lipumba ni kat ya watu waloleta mabadiriko ya kifrka hapa TZ.Mtaanza kusimulia siku atakapokufa,acha kufuata maneno ya kisiasa za maji taka, fanya utafiti mfatilie lipumba tangu ninties utapata majibu.
 
Kama ndivyo, amini kuwa hata waliosoma arts, wanafanya makubwa kimyakimya. Mfano mzuri ni hao walimu. Hujiulizi kwann wanafunzi wengi ni arts ilhali hata hao walimu wachache wa sayansi wameshindwa kufanya ushawishi?
 
Wewe haulewi kama kodi nayolipa iinatumika kuwasomeshea hao watu,jibu maswali kwanza ndio uulize swali au uhoji.
Wa
Aisee wa Tz. Bhaana kodi kwenye master ya mtu unamlipia ada wewe? Unajua ada. Ish. ngapi?

Tumelaaniwa na nini watz inabidi tuombe toba
 
Back
Top Bottom