Winga APP business idea!

Winga APP business idea!

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
913
Reaction score
923
Habari wataalam!.
Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila kutapeliwa na winga . Hii itasaidia wafanyabiashara wengi kupunguza gharama ya kuja Dar kununua bidhaa kariakoo.

How Its works?

Winga anajisajili kwenye app(android /iOS) na kufanya verifications ili aweze kupost bidhaa anazo uza kutoka kwenye soko la karikaoo. Hii verifiaction process itahusisha NIDA ID na facial recognition ili awe verify with badge kama twitter(X). Pia winga anaweza kulipia tangazo la bidhaa zake ili zionekane miongoni mwa winga wengi ili aweze kuuza kirahisi zaidi. Finally kutakuwa na escrow system within ili kuzuia utapeli au udanganyifu kwa mteja au muuzaji wa bidhaa.

Winga app itakuwa na tracking id ya mzigo husika aliyenunua kupitia app.

In short inakuwa kama kupatana ila inakuwa na escrow system ili kulinda wateja na wauzaji wasiweze kutapeliwa.

Kila winga ili apost tangazo lake la biashara lazima alipie ADA ya UANACHAMA kwa mwezi au kwa mwaka , pia mteja atakatwa 1%/2% kwa kila transaction anayofanya kama malipo ya bidhaa kwa winga husika.

Kwa app hii ya WINGA itasaidia kutatua gharama kwa wafanyabiashara wa mkoani na nje ya TZ , mathalan na wa dar pia. Pia itasaidia vijana wengi kujiajiri kwa kuuza bidhaa za karikoo au kuwa WINGA.

*************************************************************

Ili kufanikisha hii APP inahitaji mkwanja mrefu approx 10M, kila details ipo tayari kilichobaki ni pesa ya kuanza kazi ya development na deplyoment.

KARIBU MWEKEZAJI.
 
Tatizo la winga hataki kujulikana kama ni winga, ila verification process ni idea nzuri hasa kwetu ambapo idadi ya matapeli na Mawinga inalingana.
 
wazo nzuri but kila request moja ya NIDA ni 500 hongera sana and best lucky but hyo ni kama e commerce app
 
Tatizo la winga hataki kujulikana kama ni winga, ila verification process ni idea nzuri hasa kwetu ambapo idadi ya matapeli na Mawinga inalingana.
Mkuu kwema. Kuna external hard disc natumia ikaanguka ikapasuka cover .kwa sehemu ya Tanga mjini nitapata wapi hizi Cover Nina week natafuta wanasema hamna msaada plz
 
Cover zipo nyingi mkuu kuanzia 7000 unapata, sema kama unataka zuri lenye speed tafuta lenye usb 3.0 yanakua ni zaidi ya 10,000 mpaka 30,000.

Maduka ya Computer mkwakwani kule utapata, ama Mjini stendi ya zamani maduka ya wachaga
 
Investaa
mkuu wazo zuri,
Lakini nilikuwa na maswali machache, kwanini bajeti ni 10M?
Je, unacode mwenyewe mwanzo mwisho?
Lakini pia kwa upande wa vibali vya serikali umeshalipia? Au kuna msamaha umepata kama tech startup ?
kwasababu TCRA wanataka 10000usd kwa application services (kwa anae operate nchi nzima kama idea yako) na kwa vile utakuwa unashika pesa za watu inabidi uwe na leseni kutoka BOT ambayo ni 20000usd.
Nilikuwa naomba utujuze umefanyaje fanyaje coz idea tunazo lakini ukija kwenye hivyo vibali ndo tunachoka aisee🙌🙌.
Kama kuna namna labda mtu anaweza kuandika barua ya kuomba kutest idea yake kwanza then ndo aombe vibali tunaomba mtupe muongozo hapa kwa faida ya wengi.
 
1. Code nachapa mwenyewe kwa msaada wa AI.
2. Vibali ni leseni na TIN bila kusahau business name from Brela.
3. TCRA/BOT sijui sana ila kama unafanya savings kutoka wa watu ndio inabd uwende BOT ukipewe kibali. Nilishawai kuliza pindi niko Dodoma kwenye ofisi za BOT wakaniambia niende Wizara ya viwanda na biashara. Nadhani kwa sasa naisi umepelekwa BOT. TCRA sijui ila naisi uwa wanadili na blog za habari au channel.
4. Idea ambayo inahusisha payment lazima uwe na LESENI, TIN na BUSINESS NAME. Nilishawai kutengeneza website ya stori nikaweka na payment gateway ya tigopesa , nilivyoenda TIGO waliniuliza TIN, Leseni na Brela certificates. Nilivyowaonesha nikaendelea mbele na Tigo integration na kuniunga na team ya developers wa Tigo kwa kipindi hiko kwa testing ya wiki 1. After that walinipa credentials za live server for productions.
5. TRA wanikadilia nikawa nalipa kodi kila baada ya miezi 3 na leseni kwa mwaka pale manispaa ya ilala.

Kampuni ya simu inafanya kazi na mtu mwenye TIN, LESENI na BUSINESS CERTIFICATES from BRELA. Usipokuwa na hizo mambo hakuna kampuni ya simu itakayo kupokea kwaajili ya payment integration.

Final words: Kama una business idea ambayo inahusisha malipo lazima uanze BRELA akapewe business name then TRA ukapewe TIN with clearance then Manispaa ukapewe Leseni. Kama business idea inadili na savings au micro savings or micro finance ni lazima uende BOT ukapewa kibali ili usije zama kwenye msala wa money laundaring.

Ni hayo ninayo yajua kwa sasa.
 
Investaa
Shukran kwa majibu mazuri.
Hizi leseni, TIN na jina la biashara hazina shida, changamoto ni hapo TCRA na BOT🙌
Pia naomba kujua kuhusu integration ya mobile money (kwa case yako Tigo/Yas) je wanachaji kiasi gani? Kwa mwezi/mwaka au bure au ni makubaliano yenu tu.
Mwisho kama hutojali naomba best AI tools kwa coding (nataka kutumia kwenye WhatsApp bot) na logo design.
Shukrani.
 
kuna track number....................hizi hawa jamaa wa usiri na shabiby etc watatusaidiaje?
 
Investaa
Shukran kwa majibu mazuri.
Hizi leseni, TIN na jina la biashara hazina shida, changamoto ni hapo TCRA na BOT🙌
Pia naomba kujua kuhusu integration ya mobile money (kwa case yako Tigo/Yas) je wanachaji kiasi gani? Kwa mwezi/mwaka au bure au ni makubaliano yenu tu.
Mwisho kama hutojali naomba best AI tools kwa coding (nataka kutumia kwenye WhatsApp bot) na logo design.
Shukrani.
Una idea gani ad una hofia TCRA na BOT. Nimetoka kusoma TCRA website sijaona wanaongelea mambo ya APP/WEBISTE. Pale nimeona broadcasting content(social media TV), na telecommnucation & internet. Labda useme umesoma wap hayo mambo.
 
Investaa
Shukran kwa majibu mazuri.
Hizi leseni, TIN na jina la biashara hazina shida, changamoto ni hapo TCRA na BOT🙌
Pia naomba kujua kuhusu integration ya mobile money (kwa case yako Tigo/Yas) je wanachaji kiasi gani? Kwa mwezi/mwaka au bure au ni makubaliano yenu tu.
Mwisho kama hutojali naomba best AI tools kwa coding (nataka kutumia kwenye WhatsApp bot) na logo design.
Shukrani.
Hawachaji chochote bro. Bure
Unapewa kitu kinaitwa collection account/disbursement acccount, na wewe lazima uwe na business account(CRDB, NBC, NMB ). CRDB ni chap kuingiziwa pesa kila mwezi kwa Tigo. Sijajua kwa sasa.

Coding ni CURSOR una integrate na Android Studio. Au unaweza tumia Grok , kwa sasa ndio chaguo bora zaidi kwangu. Logo design ni FREEPIK na https://www.canva.com/ai
 
Shukrani
 
Habari wataalam!.
Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila kutapeliwa na winga . Hii itasaidia wafanyabiashara wengi kupunguza gharama ya kuja Dar kununua bidhaa kariakoo.

How Its works?

Winga anajisajili kwenye app(android /iOS) na kufanya verifications ili aweze kupost bidhaa anazo uza kutoka kwenye soko la karikaoo. Hii verifiaction process itahusisha NIDA ID na facial recognition ili awe verify with badge kama twitter(X). Pia winga anaweza kulipia tangazo la bidhaa zake ili zionekane miongoni mwa winga wengi ili aweze kuuza kirahisi zaidi. Finally kutakuwa na escrow system within ili kuzuia utapeli au udanganyifu kwa mteja au muuzaji wa bidhaa.

Winga app itakuwa na tracking id ya mzigo husika aliyenunua kupitia app.

In short inakuwa kama kupatana ila inakuwa na escrow system ili kulinda wateja na wauzaji wasiweze kutapeliwa.

Kila winga ili apost tangazo lake la biashara lazima alipie ADA ya UANACHAMA kwa mwezi au kwa mwaka , pia mteja atakatwa 1%/2% kwa kila transaction anayofanya kama malipo ya bidhaa kwa winga husika.

Kwa app hii ya WINGA itasaidia kutatua gharama kwa wafanyabiashara wa mkoani na nje ya TZ , mathalan na wa dar pia. Pia itasaidia vijana wengi kujiajiri kwa kuuza bidhaa za karikoo au kuwa WINGA.

*************************************************************

Ili kufanikisha hii APP inahitaji mkwanja mrefu approx 10M, kila details ipo tayari kilichobaki ni pesa ya kuanza kazi ya development na deplyoment.

KARIBU MWEKEZAJI.
Mbona hizi app zipo zimejaa upya wako hapo ni upi?
 
Back
Top Bottom