Uzinzi na divai, na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.(Hosea 4:11)
Ole wa taji ya kiburi ya walevi wa Efraim na ua la uzuri wa fahari yake linalonyauka, lililo kichwani mwa bonde-linalostawi la hao walioshindwa na divai! (Isaya 28:1).
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu huchanganya vileo, wampao haki-mwenye uovu ili wapewe ijara na kumwondolea mwenye haki haki yake. (Isaya 5;22-23).
Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo, wakishinda-sanahata usiku wa manane mpaka-mvinyo imewaka kama moto ndani-yao! Na kinubi, na zeze na matari na filimbi, na mvinyo zote ziko katika-karamu zao lakini hawaangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake. (Isaya 5:11-12
Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu, litiapo bilauri rangi yake ishukapo taratibu; mwisho wake huuma-kama-nyoka; Huchoma kama fi.ra. Macho yako yatakuwa mambo mageni; na moyo wako utatoa yaliyopotoka,Naam, utakuwa-kama-alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.-
Utasema,wamenichapa wala sikuumia, wamenipiga wala sina habari, Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.(Mithali 23:31-35).
Wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia, huota ndoto, hulala, hupenda usingizi. Naam, mbwa hao wana choyo-sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno, wote pia wamegeuka-upande, wazifuate njia zao wenyewe kila mmoja kwa faida yake toka pande zote. Husema, njooni nitaleta divai,na tunywe-sana-kileo na kesho itakuwa lama leo sikukuu kupita kiasi
.(Isaya 56:10-12).
Wote wanaowaita watu ktk UKEVI Andiko limewaita ni.MBWA
ACha tabia mbaya mara moja.