Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Ukidownload ya wizi obviously hauwezi kuwa genuine, pia loaders zote ninavyoelewa ni siku, 180 tu, unless kuna mtu ana taarifa zaidi.
Mimi nina taarifa zaidi
Ukidownload ya wizi obviously hauwezi kuwa genuine, pia loaders zote ninavyoelewa ni siku, 180 tu, unless kuna mtu ana taarifa zaidi.
Nipo Dar es Salaam, Mwenge. Nahitaji sana maana sasa hivi nina Window 8 RP na itaisha muda mwisho wa mwezi huu maana sina Key.
Kama una njia ya ziada tiririka tupate faina!!! PM zanini tena mkuu?.ni pm nikusaidie
Angusha taarifa