Ndugu,lakini naomba unieleweshe hapo hapo misso,katika site ya torrent uliyo mshauri mh. ,kwa mim katika site naiogopa kwa virus hii ni moja wapo,na nataman sana kuitumia maana chochote ukitafutacho unakipata hapo,naomba uniambie ni torrent ipi ipo salama salimini?@misso
Jamani za saa hizi... Unaweza ku download windows 8 kutoka net na ikawa genuine na ikafanya kazi?
kwa nini usitumie zorin os au kwa kuwa umesikia wengi wanatumia win8 ichukue HAPA
Ndiyo...kama unafahamu kutumia torrents, ni rahisi sana... mimi natumia genuine version ya windows 8 nimeidownload hapa: www.kat.ph
Kwani ina tofauti gani na Ubuntu hii ya kawaida kaka?
Lakini ndugu,mbona window8 ni nzito sana when comes to performance,unaipendea nini??
sio kweli, win8 ni nyepesi kuanzia loading mpk performance, hata mashine zinazorun slow window7, zinarun smoothly win8 nimejaribu karibu pc 5 zenye minimum requirements na zimerun smoothly
unaweza kunisaidia niiweke win8 kwenye Pc yangu?
Nipo Dar es Salaam, Mwenge. Nahitaji sana maana sasa hivi nina Window 8 RP na itaisha muda mwisho wa mwezi huu maana sina Key.ntakusaidiaje? uko wapi