windows 8

atrash

Member
May 1, 2011
75
12
wana jf kwa wale mliotumia windows 8 je mnaiyonaje itakuwa ni bora na ni nzuri kuliko windows 7 mana ktk windows zilizotokea kupwendwa tokea zama za window me windows xp windows vista na windows 7 kwa maoni yangu windows xp ilipata bahati kupendwa na watu wengi kuliko vista na windows 7 pia imepata bahati ya kupendwa sasa sijui hiyo window 8 itakuwa bora kuliko windows 7 ? kwa mlio wahi kutumia 8 hebu tupeni habari
 
inamana windows 7 ni cha mtoto sana kwa 8 nini kilicho zidi ktk windows 8 tusije tukakimbilia jina tu
 
mimi nilitaka kuinstall window 8 rafiki yangu akaniamabia siyo nzuri kama window 7 so nikaitupa kule but naisubiria itoke then nione inaonekana vipi machoni mwa computer nyingine thhen na mimi ndio nifabye maamuzii
 
kama wewe ni kilaza huwez tumia medula ifanye kazi watu kibao wanashindwa ku'iturn off coz bottom yake imefichwa haipo kwenye start kama ilivyo zoeleka
 
mimi nimetumia windows8developers preview...kiukweli inasome features ambazo ni advanced but kitu nilichokiona zaidi ni kuwa ukitaka uenjoy zaidi kuitumia ni kama unaaccess ya internet maana katika ile start page vitu vingi kama store,skydrive,stock...etc vinatumia internet ili viweze kufanya kazi vizuri..
Nahisi microsoft wanataka kutupeleka kwenye ulimwengu wa cloud computing hata kama hatutaki.huko ndipo tunapoelekea..tusubiri os itakayofuta tuone...
 
tatizo kubwa la win 8 linalonikera mpaka sasa ni jinsi walivyojaza makorokoro mengi mpaka wakati mwingine inakuwa tabu sasa,,afu 90% ya madude yote hayo ili uyaenjoy ni lazima uwe na net nzuri...arrrgh!! ila ni kweli ipo advanced kidogo compared to other versions za windows!
 
Back
Top Bottom