Windows 8 Installation on Dell

Windows 8 Installation on Dell

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,228
Reaction score
1,828
Habari zenu wanajamvi? Mimi ninaomba kufahamu kuhusu Windows 8. Nina Dell Optiplex GX 520 ambayo in Specifications zifuatazo:-
Processor: Core 2 Duo 2.1 GHz,
RAM: 2GB
HDD: ina ukubwa wa kutosha ni 160, c: nimeweka 50GB. Je Windows itaweza ku-run vizuri?? Maana Processor yangu nahisi kama ndogo hivi. Kwa yoyote aliyewahi ku-install Win8 kwenye Computer yenye processor ndogo hivyo anitaariu, Maana nilikuwa PC amabayo specifications zake nimezi- screenshot. THANKS IN ADVANCE. Ambroce.png
 
Je Windows itaweza ku-run vizuri??
  • Ita_run vizuli kabisa
  • Hebu angalia specification kwa ku_run dxdiag =>Display katika RUN command ili tuone ukubwa wa graphic card.
 
Habari zenu wanajamvi? Mimi ninaomba kufahamu kuhusu Windows 8. Nina Dell Optiplex GX 520 ambayo in Specifications zifuatazo:-
Processor: Core 2 Duo 2.1 GHz,
RAM: 2GB
HDD: ina ukubwa wa kutosha ni 160, c: nimeweka 50GB. Je Windows itaweza ku-run vizuri?? Maana Processor yangu nahisi kama ndogo hivi. Kwa yoyote aliyewahi ku-install Win8 kwenye Computer yenye processor ndogo hivyo anitaariu, Maana nilikuwa PC amabayo specifications zake nimezi- screenshot. THANKS IN ADVANCE.View attachment 121614

ugeweka kitu cha 64 bit kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom