10 Dell Desktops core i3 Tshs 350,000 each

miamiatz

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
505
931
Habari,

Tunazo Dell Desktop zenye windows 7, Ram 4GB, HDD 500GB, Processor core i3 bei 350,000.

Tunazo pia desktops za bei nafuu zaidi zenye pentium duo core, Ram 2gb, hdd 500gb zinapatikana kwa 270,000.

Sema ulipo tutakuletea. Bidhaa zote zimetumiwa nje ya Tanzania. Kwa hapa kwetu ni mpya kabisaaaaa.

TV ndogo used, flat, zinaingia flash, hdmi za kutumia kwenye sehemu kama za hostel na geto na kadhalika. Ni tv za kuanzia nchi 24, 20, 19 etc. Bei ni 170,000 - 200,000.

Tuwasiliane tunakuletea popote ulipo.
Whatsapp 0624 473 488

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom