Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,228
- 1,831
Nashukuru sana mkuu, Ila kwenye hiyo torrent site kwenye wamesema hiyo 8.1 ni moded na haitaweza kuburn kwenye DVD, na ni harmed
Habari zenu wanajamvi na ma-technicians wa JF?. Ninaombeni mnisaidie. "Nitapata wapi ISO ya Windows 8.1 Pro pamoja na istallation keys?" Nitangulize shukrani kwa yeyote atakayenipatia msaada.
Mkuu nime-check post #24 lakini nahisi link ime-expire/file limefutwa maana wananiambia "there was a problem with this download link: this file isn't ready for download yet" kama nilivyo-post kwenye screenshot hapo.
Hata mi iliniuzi hapo tu na hasa sisi wengine programmers software nyingi zinadunda(non compactible) sana kwenye windows 8/8.1, mi nimeamua kurudi zangu windows 7tatizo la windows 8.1 ni activation nimejaribu kila activation inagona nikaamua kurudi kwenye windows 8 enterprises ya zamani
- Nimekuwekea link nyengine pale JF store
- x32 iko paused
Download hii Ambroce_Junior , x32bit hapo juu imekuwa stopped ila x64bit ipo ok
tatizo la windows 8.1 ni activation nimejaribu kila activation inagona nikaamua kurudi kwenye windows 8 enterprises ya zamani