Windows 8.1 Proffesional

Windows 8.1 Proffesional

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,228
Reaction score
1,831
Habari zenu wanajamvi na ma-technicians wa JF?. Ninaombeni mnisaidie. "Nitapata wapi ISO ya Windows 8.1 Pro pamoja na istallation keys?" Nitangulize shukrani kwa yeyote atakayenipatia msaada.
 
Habari zenu wanajamvi na ma-technicians wa JF?. Ninaombeni mnisaidie. "Nitapata wapi ISO ya Windows 8.1 Pro pamoja na istallation keys?" Nitangulize shukrani kwa yeyote atakayenipatia msaada.
  • Nenda JF Store kuna iso ambayo ilikuwa released 17/10/2013
  • Click JF Store: Enjoy This {Download Link kwenye Post no #24 ndio latest ISO}
 
  • {Download Link kwenye Post no #24 ndio latest ISO}
Screenshot (63).png

Mkuu nime-check post #24 lakini nahisi link ime-expire/file limefutwa maana wananiambia "there was a problem with this download link: this file isn't ready for download yet" kama nilivyo-post kwenye screenshot hapo.
 
  • Nimekuwekea link nyengine pale JF store
  • x32 iko paused
0hxe.jpg
 
tatizo la windows 8.1 ni activation nimejaribu kila activation inagona nikaamua kurudi kwenye windows 8 enterprises ya zamani
 
tatizo la windows 8.1 ni activation nimejaribu kila activation inagona nikaamua kurudi kwenye windows 8 enterprises ya zamani
Hata mi iliniuzi hapo tu na hasa sisi wengine programmers software nyingi zinadunda(non compactible) sana kwenye windows 8/8.1, mi nimeamua kurudi zangu windows 7
 
tumia usb kuinstall(create bootable usb flash).
 
tatizo la windows 8.1 ni activation nimejaribu kila activation inagona nikaamua kurudi kwenye windows 8 enterprises ya zamani
  • Sema hukupata activato sahihi kwa wakati huo
  • Kwa sasa kuna activator nyingi ambazo ni single click activation inafanyika, na pia kwa sasa zipo ISO ambazo ni Pre Activated za win 8.1
 
Wel,microsoft r giving all win8.1 preview users a free winblue pro upgrade..u can install winblue pro via windows upgrade,all u need 2 do is get connected,go 2 windows store and by this time store has already discovered u as a candidate 4 the free iso upgrade...click "install microsoft_windows8.1 pro" n there u go,however,learn to be patient the full software is about 3gb and may take upto 2 days to finish......what i find most fascinating about win8.1 pro is the ability 2 automatically back-up windows updates,thanks to the in-built skydrive integration.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom