Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Mmeupdate vip kwenda w10
Kulinganisha wp na android ni sawa na kutaka kulinganisha Land cruiser na three wheel (Bajaj). Android kuongoza kimauzo c sababu tosha ya Ku indicate kwamba ni Os bora kuipita wp, for the simple research I have done nimegundua android users wengi ni wale watu wenye uelewa mdogo na matumiz yao ya simu ni kwa ajili ya kupiga, kutuma msg, kupiga picha, kutumia whatsp, facebook and other social media lakin hawatumii devices zao kwa maswala ya productivity. WP imekaa Kikaz kazi zaidi
swali lako ni la ajabu, maemo ni os ya zamani kwanini wacopy features zake kwenye release mpya? wameshacopy zamani na kitu ulicho mquote jamaa hapo juu ni moja wapo ya vitu android alivocopy.Naomba unionyeshe feature kwenye Android (lollipop au Marshmallow) ambayo imekuwa copy and pasted from Meego/meemo/Symbian.. Maana najua kuwa every OS copies but nataka tuongelee latest iteration za operating systems kilicho ibwa?
Yani hii Samsung effect ndio imefanya watu wote wa one kuwa android ipo slow mimi nimekubaliana na wewe kwenye hii because nimeangalia speed test nyingi sana online kati ya iPhone 6s, lumia 950 na nexus 6p nakuona kwamba simu hizo zipo fast zaidi kwenye opening apps.
Lakini huwo uslow wa phone book kufunguka baada ya dakika kiukweli kwa sasa hamna tena
Watch that uone note 5 vs lumia 950 xl
Uko Sahihi kabisaaKulinganisha wp na android ni sawa na kutaka kulinganisha Land cruiser na three wheel (Bajaj). Android kuongoza kimauzo c sababu tosha ya Ku indicate kwamba ni Os bora kuipita wp, for the simple research I have done nimegundua android users wengi ni wale watu wenye uelewa mdogo na matumiz yao ya simu ni kwa ajili ya kupiga, kutuma msg, kupiga picha, kutumia whatsp, facebook and other social media lakin hawatumii devices zao kwa maswala ya productivity. WP imekaa Kikaz kazi zaidi
swali lako ni la ajabu, maemo ni os ya zamani kwanini wacopy features zake kwenye release mpya? wameshacopy zamani na kitu ulicho mquote jamaa hapo juu ni moja wapo ya vitu android alivocopy.
muonekano mzima kuanzia lockscreen ukiifungua unakutana na homescreen zenye icon na widgets ambapo kwa juu kuna bar inayoonyesha vitu kama saa, network bar nk huu ndio muonekano wa maemo toka enzi hizo hata android haijaanza.
![]()
ukawa improved toleo hadi toleo tukaja tukapata os hadi meego.
os za sasa hivi za android kama lolipop zinacopy toka os za kisasa za sasa hivi angalia hivi vitu.
1. flat UI
tunajua wote ios 7 na android lolipop wametoa flat ui sehemu gani,
2.split screen multitasking - windows rt
3. doze- wp
4.multi user mode- windows phone
5. app search bar- sijui nani kaanzisha ila ipo wp since 2010 android imeanza lolipop
6.lockscreen message- ipo wp zamani
7.permission za apps- kwa wp toka zamani unaweza chagua android ndio wameanza kuanzia 6
hivyo ni baadhi ninavyokumbuka yapo mengi sana nikisearch deep naweza kutajia,
Hii nimeona kwamba kweli maana iPhone 6s memory yake mpya wanaotumia ni fast mnoo natarajia makampuni mengine yataimplement system yaokufungua application kunaathiriwa sana na aina ya internal memory iliotumika, tafuta os iliyokuwa slow kabisa halafu eka ssd uone ghafla itakavyokuwa na speed. windows japo ni nzito compare na os za simu lakini ikiwa na ssd inaboot hadi sekunde 6 tu na app zinafunguka faster kuliko simu.
Embu nielezee hapa maana nikiiangalia app store yetu kuna more productivity app kuliko windows sasa niambie ipi ni simu ya kaziKulinganisha wp na android ni sawa na kutaka kulinganisha Land cruiser na three wheel (Bajaj). Android kuongoza kimauzo c sababu tosha ya Ku indicate kwamba ni Os bora kuipita wp, for the simple research I have done nimegundua android users wengi ni wale watu wenye uelewa mdogo na matumiz yao ya simu ni kwa ajili ya kupiga, kutuma msg, kupiga picha, kutumia whatsp, facebook and other social media lakin hawatumii devices zao kwa maswala ya productivity. WP imekaa Kikaz kazi zaidi
mkuu meego ni mungano wa maemo na mobile linux (moblin) hio picha nilioeka sio ya meego ni ya maemo cheki wikipedia maemo ipo since 2004 kipindi hicho ndio ilikuwa os pekee ya touchscreen before hata ios.Tunaeza kufurther say kwamba Meego copied webOs in all respects. Kama argument ni muonekano mzima wa lockscreen.
2. Stock Android haina split screen but hii feature ilikuwepo kwenye galaxy note 1 back In 2011 nadhani before ya windows rt
5. Google search bar sio sawa na app search bar maana inafanya vitu so much more I'm sure kama umegusa android utakubali.
3. Hapo kwenye doze sijaona feature kama hiyo on Windows.. Nimeona tu normal battery saver.
Vilivyobaki ni features ndogo sana ambazo sidhani zinamsaada kivile. Kwenye flat ui you have to admit that android and ios look way better than windows 10. So hata kama wamecopy lakini implementation yao ni better.
though wp ina single digit kwenye marketshare lakini kwenye business inazidi 20% nchi zote kubwa, angalia hata hapa jukwaani solution kubwa ya matatizo mbalimbali ya android ni kureset simu na unapoongelea biashara na kureset ni vitu visivyoshabihiana.Embu nielezee hapa maana nikiiangalia app store yetu kuna more productivity app kuliko windows sasa niambie ipi ni simu ya kazi
Best Business Smartphones 2016 (and Why We Love Them)
No amwachie appleOvyo kabisa, waambieni microsoft waachane na OS za mobile, yeye ajikite tu kwenye pc/laptop.
Mobile amwachie Android.
Tukiongelea android wote tunajua kuwa ina simu nyingi sana targeted kwa watu tofauti tofauti for example kuna simu for vijana (sana sana wa kike zenye selfie camera zenye flash), simu za audiophiles, simu for people wenye kipato kidogo, kati na juu..though wp ina single digit kwenye marketshare lakini kwenye business inazidi 20% nchi zote kubwa, angalia hata hapa jukwaani solution kubwa ya matatizo mbalimbali ya android ni kureset simu na unapoongelea biashara na kureset ni vitu visivyoshabihiana.
pia kwenye biashara kuna documents zinakuwa very sensitive leo hii ingekuwa management ya cocacola inatumia android tungeshajua siri zao zote na wachina wangekuwa na clone ya cocacola, ni rahisi sana kwa android kumuibia mtu data zake, malware anatumwa tu kwa msg na kuachia data zote, kuna matundu kibao android.
pia android ni play first mambo ya launcher, themes, rom, games, whatsapp, sjui insta nk ina michezo mingi vitu visivyotakiwa ofisini na michezo hio pia inasababisha kupunguza stability ya os na kupunguza productivity
Mkuu complex nahitaji hii kitu ml950 hivi iko tayari Dar..kwa bei gani..nataka nibadili hii lumia 730 japo kwa shingo upande kwani nayo haijaniangusha.cc Chief - MkwawaVizuri kwa kukubali hilo. Hicho ndicho mimi nilichoangalia. Usmooth wa simu katika operation. Maana kuna kipindi nilikuwa na Samsung S3, ilikuwa na bloats mpaka ikafikia kipindi kufungua tuu phone book umpigie mtu inachukua zaidi ya sekunde 10. Ukikutana na mtu njiani akakupa namba, Inabidi uwe na pen uandike pembeni.
Then kwa muda wako ukaijaze huko kwenye phone book. Maana kama una haraka ama huyo mtu ana haraka lazima ukawie ukisubiri simu ipop up. Nilikuwa nafanya kazi ya kurestore simu mara kwa mara kuepusha hii kadhia. But with WP, Here i go. with snap of a finger nakuwa nishafungua app.
Nadhani ungekuja na vivid example ya huo uovyo unaouziungumzia wewe.
Hebu cheki tena hii view step by step.
1. Simu ukipewa ikiwa locked inakuwa hivii.
View attachment 327997
2. Ukishaifungua unakutana na home screen ya namna hii.
View attachment 327998
3. Ukiwa hapo unaweza anza access app, kama uliipin katika start. Kama haipo inabidi uswap home screen kuelekea kushoto. Napo utazikuta program zako kama hivii. ( Nimekuwekea Black, na whie themes.. uchague ipi inakuvutia.)
View attachment 328000
View attachment 328001
4. Ukitaka badili settings zako za simu ingia katika settings, napo utakutana na haya.
View attachment 328003
View attachment 328004
5. Say imeingia text. Itapop up juu kama notification. Ukitaka kuiaccess kwa haraka , unaswap tile toka juu kwenda chini kama hivii.
View attachment 328005
View attachment 328006
6. Say unataka cheki phone specs. Nenda katika settings. na huko itaonekana hiviii.
View attachment 328007
View attachment 328008
Karibu katika ulimwengu wa Window phones boss. Hutojutia.
CC: Chief-mkwawa.
Tukiongelea android wote tunajua kuwa ina simu nyingi sana targeted kwa watu tofauti tofauti for example kuna simu for vijana (sana sana wa kike zenye selfie camera zenye flash), simu za audiophiles, simu for people wenye kipato kidogo, kati na juu..
Sasa tukija kwenye kwenye watu wanakuja hapa kwenye jukwaa wengi wanasimu zile bei rahisi zenye software half baked (maana Google akiachia code, manufacturers wanaifanya wanavyotaka so simu mfano Tecno zinakuwa na half baked code leading to many bugs) hili sio kosa la android
Sasa tukiingia kwenye maswala ya security, kama mfanya biashara mwenye data nyeti auwezi nunua Tecno r au c series, au Huawei y series au Samsung j series kama mtu anaye hitaji security for business kuna simu for example Samsung galaxy note 5 ( hii simu ina Knox feature ) pia kuna Blackberry Priv, pia Kama unahitaji more security unaweza nunua the Blackphone 1 or 2.. Also from android lollipop kuna Encryption feature on the phone adding even more security.
baada ya kutumia surface pro, windows laptops kwa miaka na Xbox, nilionelea niingie kwa windows mobile. mzee wangu alikuwa ameharibikiwa na simu yake so nikampa my android beast na kuvuta Lumia 950 XL.
worst decision of my life. nasema hivi kama mpenzi wa MSN na mambo yao. kweli simu ipo smooth lakini wameachwa nyuma sana na wenzao kwenye apps na hizi ndo kila kitu. nikupe examples kadhaa.
Forza Football ni app nilikuwa natumia kwa android kufuatilia mechi za EPL maana mi mshabiki wa Chelsea sana, pamoja na vitu kama UEFA na zinginezo. kwa android na iOS, unaweza chagua teams you want to follow, notifications, unaweza angalia mechi za siku saba zilizopita and upcoming, top scorers kwa ligi, table standings.. etc. in short terms, ni very comprehensive na huhitaji anything else kama mshabiki wa mpira. ukija kwa Windows Mobile, hii app ni very simple. unaweza kuona mechi za leo, kesho na juzi ONLY. ukifuata teams, inakuonyesha mechi zote za hiyo klabu zijaazo kwa page ya followed teams. that means hamna jinsi ya kuangalia say mechi za saturday bila kufanya a lot of scrolling au following and unfollowing.
Rate 1 Star
Facebook. mwaka jana fb walivyo introduce Popular comments/ Most relevant comments, ilibadilisha game sana. this is because kama unafollow page ambayo ina millions of followers, the comments with the most likes/ comments are usually the best comments. Facebook app ya WM imelalia maskio. unaona comments kwa time posted only. hamna setting ya sort comments. comments yako mwenyewe on a popular post itapotea utascroll sana kuipata. free facebook and whatsapp hazifanyi kwa WM
Rate 1/2 Star
Musixmatch app. hii app mi huitumia sana kwa kuweka album art na lyrics kwa my music collection. on android, unaweza edit lyrics, upload your own lyrics, edit song info and change manually album art. kwenye windows mobile, you take what musixmatch gets you. worst of all, album art ziko tofauti sana na the real album art. without a way to change them, it's driving me crazy.
Rate 1 Star
hizi ni baadhi ya apps ambazo nimeona tofauit kati ya WM na their android counterparts. the difference, haswa kama umetoka kutumia android ni vast.
lakini apps sio mbaya kama MSN kutokubali competing companies kuweka their apps on WM. naongelea vitu kama Google Chrome, Yahoo Sports app na PS Messenger app. sielewi kwanini wao apps zao wanatengeneza for other OS lakini hawataki wengine kuweka zao on their OS.
then finally, and hichi ndo kimefanya niamue to never own another Lumia ni network settings. naishi Dsm, Mikocheni na kuna 4g ya kutosha. lakini kwa sababu hamna network lock, natumia Edge (fricking EDGE) mchana, 3G kwa bahati na sibu na 4G usiku only. at first I thought I thought labda the XL ndo ilikuwa na shida, nikaenda kubadilisha niliponunua. 2 different XLs na the problem is the same. mtandao wa tigo ukiwa busy mchana, siwezi tumia internet.
so hata ikiwa very smooth, matumizi yake hayana raha kabisa. nimebaki kutumia simu yangu kutuma messages na kupiga simu tu. na hata huko bado naumia sana (for example nani anaweka phonebook integration ambayo huwezi hide contacts kama za fb? na keyboard huwezi badilisha na speed dial ambayo sio speed dial). kwa style hii sidhani watakuja gain market share, maana hata kama screen ya XL yangu is very beautiful na simu ni very smooth I'll take a normal android any day of the week. and this is coming from a very huge windows fan