franco15 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 518 Reaction score 208 Oct 23, 2015 Thread starter #21 eliasy said: naombeni msaada wa link ambayo nita download windows 10 Click to expand... Unatumia windows gani?
eliasy said: naombeni msaada wa link ambayo nita download windows 10 Click to expand... Unatumia windows gani?
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Oct 23, 2015 #22 Upepo wa Pesa said: Hivi window dukani inauzwa shi ngapi??? Click to expand... Kupata leseni ya kutumia windows 10 gharama ni $199 lakini kama una upgrade kutoka windows 7 au 8.1 basi ni bure
Upepo wa Pesa said: Hivi window dukani inauzwa shi ngapi??? Click to expand... Kupata leseni ya kutumia windows 10 gharama ni $199 lakini kama una upgrade kutoka windows 7 au 8.1 basi ni bure
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,260 Reaction score 44,369 Oct 24, 2015 #23 Upepo wa Pesa said: Hivi window dukani inauzwa shi ngapi??? Click to expand... Dola 100 hadi 120 kwa windows 10 home, na dola 150 kwa pro version. Enterprise am not sure ILA nafkiri itakuwa dola 200.
Upepo wa Pesa said: Hivi window dukani inauzwa shi ngapi??? Click to expand... Dola 100 hadi 120 kwa windows 10 home, na dola 150 kwa pro version. Enterprise am not sure ILA nafkiri itakuwa dola 200.
T Tob0001 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2015 Posts 332 Reaction score 64 Nov 10, 2015 #24 Anayetaka activation key za window 10 anitafute fasta