Window XP OS si salama tena, je, tutasalimika?

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,264
Reaction score
4,740
Wana JF,
Microsoft imetangaza kutoendelea kutoka king a kwa watumiaji wa window XP is, na sasa yamebaki chini ya Massa matatu tu. Ikumbukwe pia kuwa watumiaji wakubwa wa OS hii ni mabenki kwenye mashine za kutolea Fedha. Je, Fedha zetu zitakuwa salama?
 
Huko kwenye mabenki na masupermarket sijui hawakusikia tangazo?? maana wameikumbatia mpaka saa hizi
 
Ipo hatari kubwa kwa watumiaji wa windows xp kama hawatachukua tahadhari baada ya microsoft kusitisha support mwezi huu. Watu binafsi wanatakiwa kuchukua tahadhari zifuatazo:
1) Kutounganisha kompyuta na internet kwa namna yoyote ile
2) Kutokupakua program yoyote kutoka internet iliyohifadhiwa kwenye cd.

Kwa mashirika kama benki na masupermarket itabidi watafute os iliyopo kwenye support ya microsoft na ambayo itawafaa kwenye shughuli zao.

Hofu kubwa iliyopo ni kwamba wahuni wa mtandaoni wanasherehekea kutolindwa kwa windows xp, na wako tayari kutumia mapungufu yote yaliyopo kwenye windows xp kwa klusambaza virusi na mashambulizi makali dhidi ya yatima huyu - windows xp.

Lakini iwapo unatumia windows xp kwa ajili ya matumizi ya word, spreadsheet, powerpoint na application nyinginezo hatari si kubwa sana.
 
Mifumo ya miamala ya Fedha katika taasis za Fedha inatumia W XP hivyo akaunti za wateja zinaweza kuingiliwa na hackers, tutegemee Hasara kwa wateja
 
Duh mnachanganya wakuu mnajua os inavyofanya kazi au mnafhani kutoa support maanake ninkukuangalizia kama fedha zako ziko salama?
Hapo ni hivi os Itaendelea kufanya kaI lakini kupata viti kama drivers na security updates za security essential ndo itakua issue maana zinatolewa. Jukumu la kulinda accounts na info za mteja ni kazi za Network and security administrator ambaye anahusika kuconfig firewall kuhakikisha no outside penetration msidhanie hacking into big systems ni kazi rahisi. Kuhack bank si kama kuhack website maichanganye hizo accounts zitakua salama sema support tu microsoft hawatatoa.
 
Wana JF,
Microsoft imetangaza kutoendelea kutoka king a kwa watumiaji wa window XP is, na sasa yamebaki chini ya Massa matatu tu. Ikumbukwe pia kuwa watumiaji wakubwa wa OS hii ni mabenki kwenye mashine za kutolea Fedha. Je, Fedha zetu zitakuwa salama?

kuna siku Kang alishasema kuhusu hiyo ishu !

Sijui hata mnachokiogopa ni nn !
 
Last edited by a moderator:
mnatiana hofu tu, ni watu wangapi walishawahi omba support microsoft hapa?
Sisi tunatumia pirated os na softwares kwa hiyo hata wasipotupa support poa tu.
 
kwani mwisho wake ni mwezi gani ndugu? tusaidiane kwani mm natumia window xp kwenye computer yangu
Ipo hatari kubwa kwa watumiaji wa windows xp kama hawatachukua tahadhari baada ya microsoft kusitisha support mwezi huu. Watu binafsi wanatakiwa kuchukua tahadhari zifuatazo:
1) Kutounganisha kompyuta na internet kwa namna yoyote ile
2) Kutokupakua program yoyote kutoka internet iliyohifadhiwa kwenye cd.

Kwa mashirika kama benki na masupermarket itabidi watafute os iliyopo kwenye support ya microsoft na ambayo itawafaa kwenye shughuli zao.

Hofu kubwa iliyopo ni kwamba wahuni wa mtandaoni wanasherehekea kutolindwa kwa windows xp, na wako tayari kutumia mapungufu yote yaliyopo kwenye windows xp kwa klusambaza virusi na mashambulizi makali dhidi ya yatima huyu - windows xp.

Lakini iwapo unatumia windows xp kwa ajili ya matumizi ya word, spreadsheet, powerpoint na application nyinginezo hatari si kubwa sana.
 
Leo ndio Mwisho
Mpaka sasa hakuna update tena ya protection, consumers wadogo hawana tatizo sana, tatizo kubwa no makampuni makubaa kama benki ambazo transactions zake nyingi ni network based, hackerswanaweza kuingilia mifumo ya utendaji kazi na kusababisha uharibifu
 
naomba kuuliza.. ukibadilisha OS kuwa windows 7 au 8 kutakua na madhara tena?
 
Mpaka sasa hakuna update tena ya protection, consumers wadogo hawana tatizo sana, tatizo kubwa no makampuni makubaa kama benki ambazo transactions zake nyingi ni network based, hackerswanaweza kuingilia mifumo ya utendaji kazi na kusababisha uharibifu
Hivi wewe unadhani fedha zako pale bank zipo salama kwasababu ya updates za security ya Microsoft?
Mnachanganya sana mambo mkuu
 
Mkuu waonee huruma tu sisi tuliosoma security issues ndo twafahamu mpaka sahivi nadhani kuna watu wanahisi computer zao zitazima
 
Hivi wewe unadhani fedha zako pale bank zipo salama kwasababu ya updates za security ya Microsoft?
Mnachanganya sana mambo mkuu
Hujaelewa post Yangu na hujajibidisha kufuatilia konachosemwa juu ya mada hii kutoka mitandao mingine
 
Back
Top Bottom