wengi muna misconception huwezi kuifanya android iwe kama windows phone sababu tiles sio live tiles. kwenye android unaweka tiles tu lakini hazipo hai. kwenye windows phone tiles zake zipo hai zinaonessha information papo kwa hapo zikitokea kama ni vichwa vya habari, matokeo ya mpira, hali ya hewa, message za fb, picha za gallery nk