achana na windows za kibishoo izo , njoo wins 7 ufurahie,Mbona hamnisaidii? Ndugu zangu
Restore computer yako au upige window upya ila kabla ya kupiga window upya restore kwanza ili uhamishe file zako ambazo zipo saved kwenye local disk c.Naomba msaada wana jf HP laptop probook 4331s ina window 8 pro build 9200 inachelewa kuwaka kwa kuandika window configuration failed.inaweza kukaka hata masaa sita haijawaka naomba msaada wenu
Natumaini nitasaidiwa
Muda mwingine tatizo si windows kufanya computer kuwa nzito bali tatizo ni hardware pia huweza changia hili.Naomba msaada wana jf HP laptop probook 4331s ina window 8 pro build 9200 inachelewa kuwaka kwa kuandika window configuration failed.inaweza kukaka hata masaa sita haijawaka naomba msaada wenu
Natumaini nitasaidiwa
Kwa issue yako ilipofikia piga window chini sbb hata ukisema ufanye kama ya @Hassan Mambosasa bado itakusumbua tu. Restore kisha piga window chini halafu ufuate ushauri wa Hassan Mambosasa wa kutojaza file kwenye local disk C. Tafuta iobit uninstaller hii itakusaidia sanaNashukuru hii ndio jf