Install Windows Kwenye Simu ya Android

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, Kwanza napenda kuwatakia sikukuu njema ya Eid Al Adha, Natumaini wote humu mnaendelea salama na mko tayari kujifunza maujanja haya.

Kwa kuanza naomba niombe radhi sana mara nyingi makala kutoka Tanzania Tech zinakuwa ndefu kidogo hivyo kwa kuokoa muda napenda kuweka video kwani huweza kumsaidia mtu kuelewa zaidi. Pia nashukuru kwa kupitia njia ya kushiriki na wengine channel yetu inapata views na napenda kuchukua nafasi hiyo kusema Asante kwa wanaotazama video zetu na pia Asante kwa uongozi wa JF na wataalam wote kwenye mtandao huu.

Hivyo basi baada ya kusema hayo ngoja twende kwenye somo la leo, Unaweza kuinstall window kwenye simu yako ya Android bila kuroot simu yako kwa urahisi sana na pia njia hii itakusaidia kuweza kuinstall windows XP, Windows 8, Windows 7 na Windows 10 njia hii ni rahisi sana guys na najua wengi wenu mtaweza kufanya. Lakini kama utakwama tuko hapa kukupa msaada.

Faida gani ntapata kiongozi? Je labda nitaweza kutumia external hard disk kwa kutumia simu yangu?
 
Kutumia External unahitaji waya maalum lakini nahisi simu nyingi zinauwezo wa kusoma flash but external sina uhakika sana. Pia unahitaji ku-format hard disk au flash kwenye format inayo support kwenye simu.
 
Vipi kuhusu changamoto ya wadudu waharibifu? Je nitahitaji sumu gani kuwaua iwapo wataingia?
 
Kama unasemea virus, hapo bado unatumia android na sio windows. Windows ipo juu ya Android.
 
Habari wana JF, Kwanza napenda kuwatakia sikukuu njema ya Eid Al Adha, Natumaini wote humu mnaendelea salama na mko tayari kujifunza maujanja haya.

Kwa kuanza naomba niombe radhi sana mara nyingi makala kutoka Tanzania Tech zinakuwa ndefu kidogo hivyo kwa kuokoa muda napenda kuweka video kwani huweza kumsaidia mtu kuelewa zaidi. Pia nashukuru kwa kupitia njia ya kushiriki na wengine channel yetu inapata views na napenda kuchukua nafasi hiyo kusema Asante kwa wanaotazama video zetu na pia Asante kwa uongozi wa JF na wataalam wote kwenye mtandao huu.

Hivyo basi baada ya kusema hayo ngoja twende kwenye somo la leo, Unaweza kuinstall window kwenye simu yako ya Android bila kuroot simu yako kwa urahisi sana na pia njia hii itakusaidia kuweza kuinstall windows XP, Windows 8, Windows 7 na Windows 10 njia hii ni rahisi sana guys na najua wengi wenu mtaweza kufanya. Lakini kama utakwama tuko hapa kukupa msaada.

LINK MAALUM
1. Maelezo Kamili Yanapatikana Hapa (Muhimu Sana Kusoma) Jinsi ya Ku-install Windows 10, 8, 7 na XP Kwenye Simu ya Android
2. Download App ya Limbo Hapa http://bit.ly/2qHsJwb
2. Windows XP Download Hapa Windows for Android2.zip
3. Windows 10 x64 Download Hapa MEGA
4. Windows 10 x86 Download Hapa MEGA
5. Windows 8.1 Download Hapa http://bit.ly/2pMpRhq
6. Windows 7 Download Hapa MEGA
Brother naomba tuwasiliane whatsapp 0746510577 nna shida na wew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom