Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,915
- 6,718
Juzi nimeonja nimeamka na hangover ya hatari
Hata wine????Unywaji pombe ni hatare kwa maisha yako...
Sijui inamaana gani...
Wachina watatuua, hizi pombe kali ndo usiseme.Zimechakachukuliwa sana, usikute zinatengenezwa vingunguti.....
Exactly, nilikandamiza kadhaa Sasa the next day nilikuwa nina special duty aroo full maruweruwe!Zimechakachukuliwa sana, usikute zinatengenezwa vingunguti.....
Inategemea ntu na ntuPombe zinakusaidia nini? Acha pombe ni Uasi
Haina maanaUnywaji pombe ni hatare kwa maisha yako...
Sijui inamaana gani...
Bahati nzuri Windhock na Heineken sio pombe ni BiaUnywaji pombe ni hatare kwa maisha yako...
Sijui inamaana gani...
Beer na pombe, tofauti ni ipi mkuu,maana pia huwa nasikiaga tanzania hakuna beer zote ni lager na light tu..naomba unipe elimu kidgBahati nzuri Windhock na Heineken sio pombe ni Bia
We soda imekusaidia nini?Pombe zinakusaidia nini? Acha pombe ni Uasi
Mabibo km wameanza mambo hayoZimechakachukuliwa sana, usikute zinatengenezwa vingunguti.....
Uasi upi wewe kondoo?Pombe zinakusaidia nini? Acha pombe ni Uasi
Unywaji pombe ni hatare kwa maisha yako...
Sijui inamaana gani...
“Nenda ukale chakula chako kwa furaha, ukanywe na divai yako kwa moyo mchangamfu, maana Mungu amekwisha ikubali kazi yako.”Pombe zinakusaidia nini? Acha pombe ni Uasi
We soda inakusaidia nini?Pombe zinakusaidia nini? Acha pombe ni Uasi
Mkuu, watu wa hivi wanaonaga kwamba wao sijui ndio wema sana...ishu ni ile ile, wanywa pombe hatunaga shida nao, ila wao kila leo hawaishi kukera.We soda imekusaidia nini?
Halafu wanakuwaga maskini balaa.Mkuu, watu wa hivi wanaonaga kwamba wao sijui ndio wema sana...ishu ni ile ile, wanywa pombe hatunaga shida nao, ila wao kila leo hawaishi kukera.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app