Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
Wakuu
Naomba kama mtu anaweza kunitatulia hili kwani ipo slo sana sababu nili update na microsoft nilipowasha mara ya pili ikaniambia nimelost password lakini nimeirecovery ipo slow msaaada Wakuu wangu mpo mbele kwa IT