Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

kibaWaKitaa

Member
Apr 26, 2021
26
55
Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO".

Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.!

Wewe je ni upi wimbo wako pendwa na kwanini!?
 
Kumbe unajiita Kiba duh
 
My everything hili ni songi la mwisho baada ya hapa alikaa miaka mitatu bila kufanya mziki ndio chokochoko zikaqnza na mondi ikabidi arudi tena kwenye mziki....
Chokochoko alizianzisha ili arudi kwenye chat,kwani kipindi yeye anarudi Mondi tayari yupo juu kimziki na number one ikachukua tuzo 3 channel 0 na ilimboost.

Ila sijui nani alimzibua masikio,Madam Rita alikua anatupotezea kiba,kijana yy kipindi hiko ilikuwa kusugua mbunye ya madame.
 
Nikahisi msiba ndo umefika" aliki ana nyimbo moja tu my everything

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Album yote ya Cinderella ilikuwa ni FIRE, FIRE, FIREEEE.

Kuna goma moja humo unaweza kusikiliza tu ukashiba ukalala.

Goma linaitwa SabrinaπŸ‘‡πŸ‘‡

🎢🎢🎢🎢

Alikiba ni moja ya wasanii ambao hawatumii nguvu kubwa kuandika hits.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…