Wimbo wa Taifa

Status
Not open for further replies.

Siri Sirini

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
547
198
Jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kujisaidia muda wa usiku, hiyo tabia mkewe alikuwa haipendi kweli mana ye ndo msindikizaji. Cku moja kama kawaida jamaa haja imembana, akamwamsha mkewe amsindikize msalani, mkewe akakataa, ila akamwambia chukua radio usikilize ili ucwe mpweke, jamaa akabeba radio akatoka nje kwenda msalani, kumbe kasahau maji ya kunawia, punde akarudi, ile kuingia ndani harufu ya kinyesi inasikika, mkewe akamuuliza
mke: vp mwenzetu, mbona kuna harufu ya kinyesi?
Mme: yani we acha 2 mke wangu, nilipofika msalani wakati nataka kuanza kujisaidia, si wakapiga wimbo wa taifa radioni, sasa kwa kuuheshimu wimbo wa taifa ikabidi nicmame, kwahyo nimejisaidia nikiwa nimesimama, na maji nimesahau
mke: hli balaa sasa.
 
Issue za wimbo wa taifa ni noma, jamaa alishawah kung'atwa na siafu kwny ikulu ya body yake. Ila alishndw kuvumilia alipg kelele balaa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom