Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

upuuzi mtupu! kwani mfanano wa mahadhi una maana yoyote? jiulize hili kwanza.hao south africa na zimbambwe kufanana kwa wimbo wao wa taifa na wetu sisi tunafaidika nao nini?. au una maana gani hasa ya msingi kuanzisha hii thread?.... ni kutaka kuzungumzia ubaguzi huna lolote!! sababu "zanzibar" Wamekukamerooni nini?
Punguza jazba mkubwa!
 
kwanini zanzibar iwe na wimbo wao wa Taifa tofauti na huu niujuao mimi?

kwani huu wimbo wa mungu ibariki ni wa tanzania bara pekee? mbona mi sielewielewi hapo? mimi nilidhani kwa kuwa tumeungana basi tutakuwa na nyimbo moja na bendera moja,sasa kwa mtindo huu hakuna muungano hapo

Wenyewe wanasema ni wimbo wa Kanisa ulitungwa na Karninali Rugambwa
 
Nikikurekebisha kidogo ndugu mtoa mada, Tanganyika haina wimbo wake kwa sasa. Wimbo huu wa Mungu ibariki Tanzania kama unavyojieleza ni Wa Tanzania ikiwemo pia Znz ndani yake. Ndio maana Taifa stars inayohusisha pia wachezaji toka Znz ikiwa inacheza na timu nyingine ya nje hupiga wimbo huohuo wa Tanzania sawa sawa pia na ikisimama yenyewe kama Tanganyika.

kwa hiyo bado tunaburuzwa na haka kataifa. Yahitajika uamsho wa Bara
 
Jamani na hapa vp?tanzania imezaliwa 1964 pale tanganyika na na zanzibar ilipo ungangana.jana tumeshuhudia mchezo wa mpira wa miguu kati ya tanzania(Tanganyika na zanzibar) vs zanzibar.hapo vipi ama ndo watanzania kama kawaida yetu niwakupelekeshwa tu?
 
Zanzibar ikijitenga, watapata msukosuko kidogo, watagundua kumbe sisi ni Waunguja na wao Wapemba.
Hapo ndio utamu uliko, Pemba wimbo wao wa Taifa utakuwa na mahadhi ya Kibao Kata, na Unguja wimbo wao utakuwa na mahadhi ya Hamada Amelewaaa

dah! Nimecheka kweeli!
 
Jaman wale ni wapemba,waache wimbo wao uwe na mahadh ya MDUARA
Nimeipenda hii, japo inasikitisha sana. Dhana nzima ya muungano inapotea kabisa. Kila mtu na lwake. Binafsi, siioni faida ya muundo huu wa muungano. Iko haja ya kuutafakari upya, hasa ikizingatiwa kuwa wenzetu dhahiri shahiri hawaupendi. Tusiwalazimishe wazanzibari kuwa ndani ya muungano. Waachiwe wapumuwe tu. Pengine wakiwa nje ya muungano tutaheshimiana na kushirikiana kwa faida ya pande zote mbili, tofauti na sasa ambapo Tanzania bara inabeba gharama karibu zote za muungano. Halafu shukrani ni lawama tu toka kwa wenzetu.
 
Punguzeni ushamba Jamani, kuwa na Wimbo, nembo, benderaa, sare, rais, ni swala la kawaida, angalieni makampuni Mengi, vikundi, timu za Mpira na kadhalika..... Zanzibar iwe na Sultani basi haiondolei haki ya kuwa sehemu halal ya Tanzania, angalieni kingdom za Uganda.
 
"wimbo wenyewe ni ... Muungu ametubarikiyaaa ..... Unguja na Pemba yote. Soote tunashangiriya ..... Jamhuriii kutuleteya ....Muungu ametubarikiyaaaa..... Uunguja na Pemba yoooote"
Huu wimbo ni tokea baada ya Mapinduzi ya 1964 upo na unatumika. angalia wakati wa ufunguzi/ ufungaji wa station ya Radio Zanzibar"


Acheni jazba

Tueleweshane tu taratibu

Ukweli wengi hawajui mambo haya- binafsi sijui mawili
- hivi wimbo huu unatumika wapi na wapi kwa kawaida?
- Umeanza lini kutumika?

ajuae ani juze please
 
"hahahaha! najana tumekubonyezeni kiZenji kule uganda, naona kimyaa sioni hata habari za gemu ile ya mshindi wa 3"

si mungeweka hayo mambo kwa sehemu nyengine za Tanzania/Tanganyika jamani, na sio kwenye makampuni ya Mengi na timu za mipira tu?





Punguzeni ushamba Jamani, kuwa na Wimbo, nembo, benderaa, sare, rais, ni swala la kawaida, angalieni makampuni Mengi, vikundi, timu za Mpira na kadhalika..... Zanzibar iwe na Sultani basi haiondolei haki ya kuwa sehemu halal ya Tanzania, angalieni kingdom za Uganda.
 
"kwani kipengele cha dini si hakikuwekwa tena kwenye sensa? umeitolea wapi hii? mimi nitakwambai moja tu kwa Zanzibar halisa Waislam ni 98.9% na hata kwa wale waZanzibari halisa ambao sio waislam huwezi kututofautisha kwa kila kitu, tofauti ukituona hawa twenda miskitini, hawa makanisani na wengine mahekaluni, wahamiaji utawajua tu"


Waislamu Zanzibar ni asilimia 70 tu, hii ya 98 ni katika Mwaka 1900 .
 
Mie nashindwa hata kufahamu huu wimbo ukoje...ila huu muungano wetu ni sawa na migogoro ya simba na yanga....!!! Kuna muda inazidi kuna muda inapunguwa. Hehehehe.

Sent from my zein millione using JamiiForums
 
Mkae mkijua Zanzibar ni nchi kamili, ni "Tanganyika" tu ndiyo inayoumwa "Identity crisis"

Zanzibar sio nchi, Rais wa Zanzibar (governor) alishindwa kuzuia Ghasia za mwezi jana kwa sababu hakuwa na mamlaka ya kuamuru hata Polisi kuwakamata Uamsho, alirudi Kikwete toka nje na mutual bila taarifa akatoa Amri wakamatwe wote wanaofanya fujo, Ilibaki tu Governo name akimbie.
 
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika.

Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote?

Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu

"Muungu ametubarikiyaaaa.........
Uunguja na Pemba yote...
Soote tunashangiriyaa, Jamhruri kutuleteyaaa...
Muungu...... Ametubarikiyaaaaa .....
Uunguuja na Pemba yoooteee"

Jana hujaangalia wakati Zanzibar wanacheza na (Tanzania/Tanganyika/T.Bara/Mzizima/Azania) ulipigwa tena wimbo wa Zanzibar na ule wa wapinzani wao. Zanzibar ikamaliza kidedea na kuutwaa ushindi wa tatu.
 
"kwani kipengele cha dini si hakikuwekwa tena kwenye sensa? umeitolea wapi hii? mimi nitakwambai moja tu kwa Zanzibar halisa Waislam ni 98.9% na hata kwa wale waZanzibari halisa ambao sio waislam huwezi kututofautisha kwa kila kitu, tofauti ukituona hawa twenda miskitini, hawa makanisani na wengine mahekaluni, wahamiaji utawajua tu"

Unajifurahisha tu wewe, hii sensa yako ni kwa waajiriwa wa Serikali tu, lakini si mnaajiri kidini kwa kuwabaguwa waliowachache? Uraiani wakristo ni 30 asilimia na wanaongezeka kwa kasi. Labda muwasilimishe wale wazungu wanaohamia Zanzibar kila siku
 
Hivi radio za Tanzania zimefungiwa Zanzibar? Za Arabuni zinasikika ila za Bara hamna, isipokuwa Radio Imaan
 
" ninachozungumzia mimi ni waZanzibari halisa (wazaliwa), ambao Inshallah muda mfupi ujao watakuwa na uraia wao kama waZanzibari, sio wahamiaji wa aina yoyote"


Unajifurahisha tu wewe, hii sensa yako ni kwa waajiriwa wa Serikali tu, lakini si mnaajiri kidini kwa kuwabaguwa waliowachache? Uraiani wakristo ni 30 asilimia na wanaongezeka kwa kasi. Labda muwasilimishe wale wazungu wanaohamia Zanzibar kila siku
 
Back
Top Bottom