Maneno ya Wimbo la Taifa la (Zanzibar) Unguja na Pemba ni haya:yani hakunaga mwenye kufahamu maneno yaliyoko kwenye wimbo wa Jamhuri ya Zanzibar?
Zanzibar ikijitenga, watapata msukosuko kidogo, watagundua kumbe sisi ni Waunguja na wao Wapemba.
Hapo ndio utamu uliko, Pemba wimbo wao wa Taifa utakuwa na mahadhi ya Kibao Kata, na Unguja wimbo wao utakuwa na mahadhi ya Hamada Amelewaaa
halafu wazenji si %98 waislam?Waaacheeeee waimbe wanavyojua, hii ndoa ya Tanganyika na Zanzibar ingekuwa inafuata misingi kama ile ya ndoa halisi za Kiislam tungeshakuwa tumeachana.
mkuu nimekasikia kamelodi. ni kazuri by the wayManeno ya Wimbo la Taifa la (Zanzibar) Unguja na Pemba ni haya:
Mungu ametubarikia, Unguja na Pemba yote.
Sote tunashangillia, Jamhuri kutuletea.
Mungu ametubarikia, Jamhuri kutuletea.
Wimbo huu ulianza kutumia mara tu baada ya mapinduzi ya 1964 na kuwacha wimbo huuiliokuwa unatumika tangu 1911-1964.
Yap! kamelodi kake katamu, lkn kumbuka kuwa haka kamelodi haka ni kale ka wimbo wa mkoloni. Wa Zanzibar wa sasa uko chapwa sana.mkuu nimekasikia kamelodi. ni kazuri by the way
Yap! kamelodi kake katamu, lkn kumbuka kuwa haka kamelodi haka ni kale ka wimbo wa mkoloni. Wa Zanzibar wa sasa uko chapwa sana.
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa tanganyika. Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo tumeungana nayo hakuna mfanano wowote? Kadhalika naombakama kuna mtu mwenye maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zanzibar atuwekee humu
Zanzibar ni sawa na Kenya, Uganda etc
jamani kumbe zanzibar nao wana wimbo wa taifa. sasa swali hapa wa bara tuanapoimba....MUNGU IBARIKI TANZANIA INAKUWAJE HAPO?
Tehe tehe tehe!!!Inshalla! Mashallah!!! Allah!! Allah!! Allah!! Mashallah!!!!!!!!!!!!!!!! Bila shaka hayo yamo.