Ili miezi 3 mitatu bila umeme Zanzibar ni mibaya kuliko kipindi chote katika historia , watu walibakwa , waliporwa, makampuni makubwa na mahoteli ya kitalii yalifunga na kuondoka (mfano venta karibu hotel) bei ya mafuta ilifika elfu 5 kwa lita, majenereta yaliwafilisi wafanyabiashara na kuuwa familia nyingi kwa pamoja, bei ya bidhaa ilipanda, moto wa majenereta ulimuunguzia kila mtu makomputer yake pamoja device elektroniki zingine, bora vingetokea vita kuliko hali ile. Kosa lilikuwa usingizi mnono wa Serikali ya Karume na Waziri wake Shemeji Mansour Himid kwa sababu Waya unaoleta umeme Fumba toka Bara ulikuwa ubadilishwe baada ya maximum miaka 25, na ule ulikuwa umezidi 30, ndio maana kwa kuwazuga watu ili viongozi wasifikiriwe kunyongwa walileta burudani la Uamsho ili watu wasikilize show ya ndoto ya Nchi ya Zanzibar, na si haba watu walikubali show na serikali ya Karume pamoja na maovu na ufusadi wa kutisha unakumbukwa vizuri sanaaaa !!!
Tuna adui mmoja tuu CCM..bahati mbaya nyie mliyempa heshima ya mapinduzi...Chama Cha Mapinduzi....CCM ikifa makundi hayo yote hayatapigana tena..kwani watapewa majibu yasiyo ya kisiasa.Naam Zanzibar tunajuwa nani wa kumgaidia sio nyinyi mnaouwana wenyewe kwa wenyewe, na kuna hatari Tanganyika vita vya wenyewe kwa wenyewe vikazuka. Mna vikundi vingi vilivyotayari kwa kugaidiana wenyewe kwa wenyewe, kuna wakulima na wafugaji, wachimbaji na wawekezaji, CCM na CHADEMA, Wapinzani na vyombo vya dola, na msururu mrefu wa vikundi vinavyopigana.
Zanzibar unahesabu vitendo unavyoviita vya ugaidi laikini ndugu zetu nyie mmekazania kuuwana tu kila kukicha, sasa hilo la kuihukumu Zanzibar linakuja wapi.
Wimbo wao utakuwa na mahadhi ya taarabu.
Ili miezi 3 mitatu bila umeme Zanzibar ni mibaya kuliko kipindi chote katika historia , watu walibakwa , waliporwa, makampuni makubwa na mahoteli ya kitalii yalifunga na kuondoka (mfano venta karibu hotel) bei ya mafuta ilifika elfu 5 kwa lita, majenereta yaliwafilisi wafanyabiashara na kuuwa familia nyingi kwa pamoja, bei ya bidhaa ilipanda, moto wa majenereta ulimuunguzia kila mtu makomputer yake pamoja device elektroniki zingine, bora vingetokea vita kuliko hali ile. Kosa lilikuwa usingizi mnono wa Serikali ya Karume na Waziri wake Shemeji Mansour Himid kwa sababu Waya unaoleta umeme Fumba toka Bara ulikuwa ubadilishwe baada ya maximum miaka 25, na ule ulikuwa umezidi 30, ndio maana kwa kuwazuga watu ili viongozi wasifikiriwe kunyongwa walileta burudani la Uamsho ili watu wasikilize show ya ndoto ya Nchi ya Zanzibar, na si haba watu walikubali show na serikali ya Karume pamoja na maovu na ufusadi wa kutisha unakumbukwa vizuri sanaaaa !!!
Unataka uwe na mahadhi ya mbege?Wimbo wao utakuwa na mahadhi ya taarabu.
Hiyo tune ya wimbo wa zenj, yaonekana ulitungwa kanisani kabisa!
wenu nyie msondo ngoma...teh teh teh
Kwani huwa uusikii na kuuiamba kila mara?
Unataka uwe na mahadhi ya mbege?
Wewe ulitaka ipi?Ulitaka iwe na mahadhi yale yenu ya KUFUNGA SIKIO MOJA NA KIDOLE...
wimbo was kikatolikii
kuusikia haiwezekani lazma ntauckia ama kuuimba daima ctafanya upuuzi huo maana asili take ni Tanganyika lkn mbaya zaidi ni wimbo wa kikafiri umetolewa kanisani kweny vitabu vya nyimbo za kumtukuza bwaaana...
Swali la kipuuzi,kwani kuna benki kuu,sarafu,bendera,polisi na jeshi la Tanganyika si mlijifanya kuhodhi vitu vyote kwa jina la muungano.Pengo sasa hivi hana raha kwa sababu serikali mbili ndio matakwa ya Vatikani ili waendelee kuritadisha Wazenji na kupora ardhi.
Haha..kwa vile mabwana za Zenj huwa taaabu ndio chaguo,kingine ushairi..sasa wimbo wataifa ukiwa shairi si kazi....Ni lazima ufanane na Za kanisani kwa vile utamaduni wenye allaha nyingi za majeshi na ni uleule uliozaa nyimbo za makanisani.
naam kweli ila wee hutoweza maana ugozi wako bado haujatolewa.....ivi hadi lini vileee?Haha..Kwanini hawakumiwta J Nature aje watungia kwani ndie huwa naimba sana kwa satili ya kuweka kidolo ktk sikio
naam kweli ila wee hutoweza maana ugozi wako bado haujatolewa.....ivi hadi lini vileee?
Yan kama mtu alifuatilia hizi sherehe na ni muelewa lazima ataona upumbavu uliopo ktk hicho kiini macho kinachoitwa Muungano!
Yan Rais wetu anakuwa chin ya Gavana wa zanzibar?, Shein anakagua gwaride mbele ya Rais wa muungano kama nani? SHein anapigiwa mizinga 21 mbele ya rais wa JMT? Ebu tuache huu upuuzi turudishe heshima ya TANGANYIKA YETU TUKUFU.
kiukwel kikwete kadhalilishwa sana leo kiitifak ,kiprotokali na kiheshima!
Huu ni ujinga JK kuwa chin ya Shein