Wimbo wa taifa kwenye tangazo la Magufuli hii ni sawa?

mpolemimi

Member
Jul 23, 2014
39
11
Hivi ni sawa kwa kituo cha radio kutumia wimbo wa taifa. Kwa matangazo. Hii nimekua nikiisikia kwenye kituo cha Clouds Fm.

Wakitumia wimbo wataifa kwenye tangazo la Magufuli
 
Kwani wewe hujui kuwa hicho kituo ulichokitaja kimeondoka kutoka kituo huru cha radio na hivi sasa kinatambulika kama Cloud-CCM FM?
 
Zamani ukisikia wimbo wa TAIFA lazima ukimbilie redio kusikiliza the following big news, now days majangs
 
C
Hivi ni sawa kwa kituo cha radio kutumia wimbo wa taifa. Kwa matangazo. Hii nimekua nikiisikia kwenye kituo cha Clouds Fm.

Wakitumia wimbo wataifa kwenye tangazo la Magufuli
Tangazo la kuomba kura na wimbo wa taifa nimevisikia pia RFA.Magufuli ni mgombea urais tu kama alivyo Maximillan Lyimo
wa TLP. Kutumia wimbo wa taifa kuombea kura ni kuwatukana
watanzania wote!

TCRA, what are you doing?
 
Nimejiuliza nami swali hilohilo. Inaonyesha Tume katika mambo yafanywayo na upande mmoja imefumba macho kabisa ila upande mwingine inamulika kwa kurunzi kali sana.
 
Kutumia wimbo wa taifa kwa mgombea wa chama chochote cha siasa sio vizuri kwani taifa ni letu sote. Naomba kituo clouds fm kutofanyo hivyo.
 
Kuna wakati nami nilijiuliza haya maswali ila nikajinong'oneza imagine jamaa yangu Dovutwa angefanya hivi si tungesikia makaripio nchi nzima???? To me Tanzania haiko huru asilani, iko kwenye ukoloni mambo leo..... Mengi yatatokea kabla na baada ya uchaguzi ila lazima tumwombe mungu ili maamuzi ya Watz yaheshimiwe na kila mwenye pumzi.
 
Back
Top Bottom