Wimbo wa Ney wa Mitego wapigwa 'ban'

Wimbo wa Ney wa Mitego wapigwa 'ban'

Mh,kumbe ray anaishi kwao?


Kweli miaka haigandi,wema nae wanamwita bibi siku hizi,?


Hahaha... hii inaitwa Makavu live...Live bila chenga

Ney kasema ukweli...tatizo wabongo hawapendi kusikia ukweli....umewachoma kumoyo
 
Hawa BASATA sielewi wanasimamia maadili gani,video za wasanii wetu zimekuwa aibu kuzitazama ukiwa na watoto hata watuwazima,lakin BASATA imekaa kimya lakin badala yake wanaenda kifungia audio
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Duh, kwa iyo hao BASATA, wameamua kwa vile wametajwa!
Kabisa! Kuna nyimbo za mkubwa na wanawe zinaendelea kupigwa! Nazo live bila chenga. Hii basata nayo ni jipu. Mpaka leo sielewi kwanini walifungia Miss Tanzania. Yule aliyeleta sokomoko scot free.

HII NDIYO TANZANIA YETU. Mwenye haki ni mwenye nacho.
 
Vipi kwani wewe si flatscreen walioimbwa huku ni wale jamaa aliwasifia kwa tak* ila wana sura za baba zao


Asante kwa kunifahamisha! Wengine walioimbiwa huo wimbo ni watu gani??
 
Baraza la Sanaa nchini(BASATA) limeufungia wimbo wa Ney wa mitego unaoitwa 'shika adabu yako' kutokana na matumizi ya lugha chafu ndani ya wimbo huo.

===== Mashairi =====

Siyo hivyo tu! Jamaa anaweza hata kufikishwa mbele ya Pilato kwa kuwakashifu wengine!
 
Hivi hawa jamaa wanawasaidiaj wasanii kiuchumi yaani ukisikia wimbo umfungiwa ndo unajua kuna Basata
 
Back
Top Bottom