Siasa ni WATU....
Bila ya WATU....
Bila ya WAUNGA MKONO na kusimama vyema na kiongozi huwa hakuna SIASA IMARA....kwani binadamu tunasahau haraka.....
Binadamu tunasahau mazuri mno sembuse machache ya muda mfupi?!!!
Ni lazima TUKUMBUSHWE...
Ni lazima TUKUMBUSHANE uadhimu wa Tanzania na viongozi wetu wakubwa πͺ
#Siempre JMTπ
#Siempre SSHπ