Wimbo wa kuingilia maharusi ukumbini

Wimbo wa kuingilia maharusi ukumbini

Niache kuwaza namna gani naenda kugegeda nianze kuwaza nyimbo? wimbo wowote ilimradi mrume nimalize shughuli salama thereafter nikafanye yangu kunako 6 kwa 6.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] aiseee
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mkuu kwani unadhan siku hiyo ya harusi ndiyo huwa siku ya kwanza kwa maharusi kukutana yaan nashan wengi walishajimilikisha Long tym pale ni hitimisho na wanaweza hata wasipige game siku hiyo..
Ni kweli kiongozi ho nalitambua pale ni hitimisho tu ila washakutana sana.....si unajua watu wa jf tulivo tena ilimraddi pachangamke
 
Back
Top Bottom