Wimbo wa haleluya

hayo maandishi ya muziki (nota) yananikumbusha somo la muziki nikiwa form one and two enzi hzo. Nilikuwa nalipenda sana somo la muziki!!!

Naupenda sana wimbo wa Ehe Mungu unikoe wa kwaya ya mfalme kizito makuburi, utunzi wake Bernard Mukasa!!!

Tiba


Mimi napenda sana wimbo wa "Ave Maria" (sina hakika kama unaitwa hivyo), ulitungwa na jamaa mmoja wa Dar. Nimejaribu kuutafuta kwenye you tube siupati. Ni mzuri sana.
 
Mie ni mpenzi wa siku nyingi wa Marehemu Roger Troutman. Huyu jamaa alikuja kusifika sana kwa kutumia kile chombo cha Talk Box ambacho kwa kweli alikuwa akikipiga si mchezo. Wengi walijaribu saana lakini ulikuwa unaona kabisa tofauti. Ndiye aliyeweka ile sauti ya talk box kwenye wimbo wa Tupac wa California Love.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=9LMfkCfG_r8"]YouTube- Sounds of Blackness[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=I6PX2umTYRg"]YouTube- You Raise Me Up - Secret Garden[/ame][ame="http://www.youtube.com/watch?v=L9hduY3_mUs"][/ame]
 
Kwa waliopitia Seminari mnaukumbuka wimbo(sala) huu?,hasa kwenye somo la Lugha ya Kilatini...Huimbwa sana wakati wa ibada ya Rozali takatifu(kwa kilatini)

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=JWKwbQfurNc"]http://http://www.youtube.com/watch?v=JWKwbQfurNc[/ame]



Salve, Regina, mater misericordiae:
Vita, dulcedo, et spes nostra, salve.
Ad te clamamus, exsules, filii Hevae.
Ad te suspiramus, gementes et flentes
in hac lacrimarum valle.
Eia ergo, Advocata nostra,
illos tuos misericordes oculos
ad nos converte.
Et Iesum, benedictum fructum ventris tui,
nobis, post hoc exsilium ostende.
O clemens: O pia: O dulcis
Virgo Maria.
 
Kwa waliopitia Seminari mnaukumbuka wimbo(sala) huu?,hasa kwenye somo la Lugha ya Kilatini...Huimbwa sana wakati wa ibada ya Rozali takatifu(kwa kilatini)

Umenikumbusha mbali sana mkulu, kuna Fr mzee alikuwa akitwa Mpesa likuwa akishusha Conjugation hadi raha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom