Yaan mkuu
sikuzaajabu umeniwahi na mm nlitaka kusema hivyo hvyo, ila ngoja niongezee kitu kdg, hili ni si tatizo la mwimbaji wa wimbo bali tatizo ni kwa wasikilizaji hawajazoe kusikiliza ujumbe kwa staili hii, mi ni mmoja kati ya waliouelewa vizur wimbo huu ndo mana kama alivyosema mkuu siku za mwisho kuwa baada ya kuona na kugundua amekosa kwa kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo japo mwenywe aliona ndo njia ya kumuokoa mumewe alisema "NAMI NATAKA KUTENGENEZA NA MUNGU" napia funzo lingine tunalilipata ni kua tusihukumiane mana habari ya hukumu ni ya MUNGU mkuu ndo mana kwenye wimbo yule mzee aliposema ambaye hajawahi kukosa awe wa kwanza kumuua mtoto wote walinywea ikonyesha yamkini walikua na mnakosa makubwa pengne kuliko ya wifi/shemej yao!