Wimbo wa Alikiba "Seduce Me" una kitu gani special?

kama kucopy sasa mbona WCB ndo wanaongoza kucopy ukiisikiliza phyno ft psquare (financially woman)na ukiisikiliza show me ni sawasawa!! bow wow ft snoop dogg that's my name ni sawa na ile ya rayvanny(sugu) eneka ni copy ya if akachukua na vionjo kutoka kwa tekno....sikilizeni miziki vizuri msiwe watu kushutumu upande mmoja tu...!
 
Huwa namkubali Mond but Kiba hapana
Kiba anapataga sympathy votes iwe Utube au wapi na wafuasi wa Mond hao hao.
Kumfananisha kiba na wcb kwa sasa ni sawa na kumfananisha Rugemalila na Dangote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom