Kuna kibao cha muziki cha Mrisho Mpoto kinaitwa Adela, kila nikisikiapo huwa sikielewi. hivi ana maana gani huyu jamaa maana mi nashindwa kumuelewa.
Kwa mfano anasema nyoshakidole Adela..Nisaidieni!!!
tatizo la watz ni lile lile:kujifanya tuna akili sana kuliko wengine. Kwanza Mpoto ni mwoga,ajaribu kuchana wazi kama Roma ataeleweka vizuri. Mafumbo ya nini wakati ujumbe unachelewa kufika?
Kuna kibao cha muziki cha Mrisho Mpoto kinaitwa Adela, kila nikisikiapo huwa sikielewi. hivi ana maana gani huyu jamaa maana mi nashindwa kumuelewa.
Kwa mfano anasema nyoshakidole Adela..Nisaidieni!!!
aAfadhali umemgundua BABA ,huyu jamaa msanii anaukiza swali anajijibu! .....maudhui ya wimbo anayatafuta msikilaziji,huyo jamaa ana muimba ADELA ,hizo maana nyingine ni zako